chumvichumvi
JF-Expert Member
- May 6, 2010
- 1,207
- 311
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu mteja,
Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?
Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.
Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:
- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.
Karibu
Vodacom Tanzania
very trueVodacom unapotaka kuongea na Huduma kwa wateja kupitia 100 hakuna sehemu yeyote kupitia 100 inayokuruhusu kuongea Moja kwa moja na Mtoa huduma kwa wateja jamani vipii ? !!!
Tutalipwa lini gawio la share zetu?Ndugu mteja,
Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?
Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.
Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:
- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.
Karibu
Vodacom Tanzania
Una hoja dhaifu sana!. Kwan si kuna vifurushi visivyoisha muda?. Ni upuuzi ununue kifurushi cha 24 hours halafu utake kidumu miez 3 kwanini usinunue kisichoisha?1. Mtu unakuta niko na simu nzuri kabisa ya kisasa(samsung/apple n.k) na settings zangu ziko sawa kabisa lakini kumekua na tatizo la internet kiasi mpaka inatia hasira.muda unaonunua kifurushi ndo unakuta muda unanyimwa huduma nzuri,mtandao unakua chini sana na upo town wala si porini kusema kwamba labda hakuna network la hasha.
2. Wateja tunanunua kifurushi na muda unapofika ule ulionunulia kifurushi kama ni 24hrs kifurushi kinaishia hapo hata kama MB bado uko nazo,huu nauita ni wizi mkubwa.kwa nini msiache mpaka MBs ziishe ndipo mtu anunue zingine?na kwa nini msiache mtu anapoingiza muda wa maongezi iwapo kifurushi cha internet kimekwisha ukiweka vocha inaliwa ghafla eti mpaka uzime data.kwa nini msiache muda wa mtu wa maongezi uwepo hewani mpaka tu pale yeye mwenyewe atakapoaamua kununua kifurushi cha internet?kuna aina ya ujanja ujanja m'baya sana mnaufanya.
3. Ninaamini 80% ya wanatumia mtandao wa Vodacom kama isingekua huduma ya m pesa yamkini mngekimbiwa na wateja wengi sana nikiwepo na mimi.
Jaribuni kubadilika
Sent using Jamii Forums mobile app