in ha
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 1,726
- 3,888
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aiseeh.. Vodacom,kwenye swala la kukomba data nimewaelewa, yaani 1GB yenu, Ni sawa na 500MB mwingine.Mabando yenu mmewekea hamira.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aiseeh.. Vodacom,kwenye swala la kukomba data nimewaelewa, yaani 1GB yenu, Ni sawa na 500MB mwingine.Mabando yenu mmewekea hamira.
Jamaa ni wabaya😂, Kuna kipindi ilifikia nikaamua kuushusha mtandao kutoka 4G Hadi 3G,ila bado kichapo lilikuwa kilekile😂😃😃Kwa kula bando ndo paliponishinda mkuu
😂😂 We acha tu mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vodacom mmeniboa Sana wafanyakazi wenu wanawaangusha hawapo kikazi ila kimaslahi zaidi Tatizo langu toka mwezi 5 baada ya kuwatafuta viongozi wajuu Jana ndo wanahangaika yaani nimekerekwa kweli.Ndugu mteja,
Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?
Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.
Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:
- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.
Karibu
Vodacom Tanzania
Hilo lipo maana siku narusha salio ili ninunue mda wamaongezi imekatwa nawapigia wanasema ulikopa mda WA maongezi nawauliza lini.Kuna wizi mkubwa kwa fedha za salio za wateja unaoendelea sasa hivi katika mtandao wa Vodacom.
Kwa vile hili si jungu bali ukweli nimisha report wizi huo katika kitengo cha malalamiko TCRA kwa hatua zaidi.
Nimeweka salio la Tsha 10,000 mchana wa leo kwa Mpesa ref Y23SY687 na baada ya muda mfupi nikakuta salio langu la maongezi ni sifuri.
Nikanunua vocha na kutumiwa tshs 10,000 na hela yote imekatwa tena.
Wateja wa Vodacom jihadharini, kuna mwizi kaingia mtandaoni Vodacom
UPDATE
=====
VODACOM wamefanya ustaarabu wa kunipigia baada ya kuona detail ya transaction hapo juu, na kuiona kwenye mtandao wa Jamiiforums.
Kimsingi wameapologise kwa mtafaruku uliotokea lakini wamenieleza nifike ofisini kwao kuona aian ya simu ninyotumia isije ikawa data apps ziko wazi.
Na kweli baada ya maongezi ya kuchunguza, mobile data setting ilikuwa ON, na mimeizima sasa.
Hata hivyo ni vema nitaenda kupata maelezo ya kuyeyuka kwa salio langu , karibu 20,000, kwa siku moja.
Wanabodi mtajulishwa inawezekana kuna wenye tatizo kama langu.
UPDATE
=====
Nimeonana na waheshimiwa sana wa Customer Care pale Block 4 Mlimani City.
Cha kusikitisha ni wao kushindwa kuchukua malalamiko yangu na kuyafanyia kazi, na hii ni licha ya kuwaelewesha kuwa hili tukio nalijawahi kunitokea na hii kuwa ni mara ya kwanza.
Hawa jamaa wa Customer Care ni kama mabalozi waliopewa jukumu la kusafisha kampuni ya VODACOM hata kama inanuka kwa wizi uliodhahiri.
Kitu ambacho hawajui ni kuwa nilifanya due diligence kupitia wafanyakazi ndani ya VODACOM walionidhihirishia kuwa kuna wafanyakazi wasio waaminifu ambao wana access na personal security settings za wateja.
Na wafanyakazi hao huwa "wapiga kishenzi" fedha za wateja.
Kwa kifupi mtu wa Customer Care ameshindwa kuniconvince na maelezo yake ya upotevu wa Tshs 20,000 katika mtandao wa VODACOM.
Vodacom Tanzania jibuni hili swali! Mmeshirikiana na makampuni mengine kufuata maagizo ya ccmMbona Mmeminya network na hela za vifurushi mnakata? Mliwapa taarifa wateja wenu kua kutakua na tatizo la mtandao Leo?
Haya makampuni ya simu hayana maana, tumia VPNMbona Mmeminya network na hela za vifurushi mnakata? Mliwapa taarifa wateja wenu kua kutakua na tatizo la mtandao Leo?
Hawa ni wezi kama wezi wengine tuMbona Mmeminya network na hela za vifurushi mnakata? Mliwapa taarifa wateja wenu kua kutakua na tatizo la mtandao Leo?