Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom tafadhali sana rudisheni pesa za watu.
TUHESHIMIANE
 
mi mwenyewe nilinusurika kuibiwa nilihamisha fedha kutoka nmb bank kuja mpesa fedha hiyo iliingia baada ya masaa nane wito wangu watumiaji wa huduma hii tuwe makini wakati wowote unaweza ukalizwa
 
Nmb system ndo mbovu na haifai kabisa me natumia crdb na stanbic bank nakula maisha tu

Na inasemekana vidacom walishawaambia nmb wabadilishe wakakataa chunguza kwenye mabenk ni wateja wa nmb tu cku zote ndo huibiwa
 
kweli nmb wana tatizo,nilihamisha pesa toka akaunti yangu kuja mpesa toka juzi mchana zimeingia jana jioni!mbaya zaidi nikaenda atm jana asb ili kukidhi mahitaji yangu nikakuta hela haimo nilikasirikaje?
 
Nmb system ndo mbovu na haifai kabisa me natumia crdb na stanbic bank nakula maisha tu

Na inasemekana vidacom walishawaambia nmb wabadilishe wakakataa chunguza kwenye mabenk ni wateja wa nmb tu cku zote ndo huibiwa

Good Point...
 
mm m2 akinitumia hela kwa m-pesa linatoka jina jingine ambalo co langu, lkn poa 2 pesa inakuja vizuri!
 
Pole sana. Mimi sijashawishika na mobile banking nikikumbuka taabu ninayopata mara ninapokwenda kutoa hela kwenye baadhi ya ATM za NBC hasa hasa ile ya sinza kijiweni na hela haitoki lakini tayari kwenye akaunti ilishakatwa.

Mlolongo huo hadi hela irudi inaweza kuchukua takribani mwezi mmoja. Sasa fikria kama ni mobile banking ambapo sasa uchunguzi itabidi uhusishe kampuni mbili tofauti je kama ndiyo hela pekee uliyonayo utaishi vipi?
 
Nmb system ndo mbovu na haifai kabisa me natumia crdb na stanbic bank nakula maisha tu

Na inasemekana vidacom walishawaambia nmb wabadilishe wakakataa chunguza kwenye mabenk ni wateja wa nmb tu cku zote ndo huibiwa

Kwanza waandika usichokijua, jifunze ndio uje jukwaani kupost vitu vyenye uhakika.
vodacom wana bandwidth ndogo sana isiyoendana na ukubwa wa banks like nmb etc so technically systems zao zinakua na some sort of DOS ( ila wanaiaccumulate kwenye suspense a/c zao) kutokana na request mingi za transactions , airtel na tigo nadhani bandwidth zao ziko poa na ndio maana mimi wa tigo pesa wala sijawahi kupoteza ela yangu, vodacom kiukweli wanatoa sub standard service kila idara ie data, calls na hata hizi mpya za kwnye pesa ila TCRA hawamwajibishi sijui hawajui wajibu wao au vip??

So huko nmb sijui systems zao lakini zingekua mbovu wasingeweza kuhandle maelfu ya wateja wao.
Tafakari.
 
Mie siku zote naonekana mshamba,lakini hata Buku kumi natumia huduma za Bank.
Haya Matawi yoote yaliotapakaa mijini eti nihamishe pesa kwa style hiyo,duuh hapa bado sijaweza kuhamasika kwa hili.
Ikiwa sim basi kwa sim,na Bank basi kwa Bank.
Wakati wa sikukuu ndio majanga kabisaa
 
Kweli, kwanza mi nadhani wazungu wanatushangaa sana, kuwa tumeibaka technology.
 
Pole sana. Mimi sijashawishika na mobile banking nikikumbuka taabu ninayopata mara ninapokwenda kutoa hela kwenye baadhi ya ATM za NBC hasa hasa ile ya sinza kijiweni na hela haitoki lakini tayari kwenye akaunti ilishakatwa. Mlolongo huo hadi hela irudi inaweza kuchukua takribani mwezi mmoja. Sasa fikria kama ni mobile banking ambapo sasa uchunguzi itabidi uhusishe kampuni mbili tofauti je kama ndiyo hela pekee uliyonayo utaishi vipi?
Daaah, hizi ATM za sinza kijiweni nazo, sijui wahusika hawalioni hili...!!!? Na nadra sana kuzikuta zikiwa operatinal.



Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Wahudumu wanaokuhudumia wana uelewa Mdogo' simply because wamekalilishwa mambo na hawajaexperiance wenyewe!

Kukatwa salio lako sio paka ujiunge na vifurushi au uaccess Internet'' la hasha.. Sim nyingi za kisasa tunazotumia zina applications nyingi ambazo zinakuwa online mda wote bila wewe kujua hivyo zinakula hela.

Hivyo ni kazi yako kujua aina ya sim unayotumia' ili kujiepusha na matumizi ya vocha usiyokusudia.

Takupa mfano mmoja' mimi natumia iPhone' hii sim yangu nikiweka vocha ya tsh 1000' bila kujiunga na kifurushi chochote, wala sijapiga simu na bila kuaccess Internet' ndani ya lisaa limoja nikicheki balance nakuta 0.00!!

Hivyo ili kujiepusha na gharama hizo kama sijanunua kifurushi cha Internet naweka OFF CELLULAR DATA na 3G'' nikifanya hivyo haikatwi hata cent ya vocha yangu. Then nikitaka kuaccess net Nanunua kifurushi kwanza ndo naweka ON.

Kwa upande wa mleta uzi' swala la sim yako kuwa disconnected halina uhusiano wowote na mtoa huduma au callcenter!! Pia kama wewe ni mtumiaji wa hizo huduma unapaswa kuwa na namba ya callcenter ya CRDB BANK' ili unapopatwa na tatizo kama hilo ukipiga sim upande mmja wakikuambia wasiliana na upande wa pili unapiga sim na kupata muafaka wa tatizo lako. Kwasababu zinazofanya kazi ni system hivyo sometimes kudelay kupo. Au kabla ya yote ulipaswa kuangalia salio lako la bank' maana kuna mda unaweza usipate ujumbe wa uthibitisho lakini ukicheck salio unaona limeongezeka..

Mwisho kwa telecommunications industry TZ Voda ndio kampuni yenye huduma nzuri Kwa wateja'' compered to other telecoms. Ingawa sio wazuri sana kivile lakini at least wanajitahidi.

Hakuna kitu hapo.Mie nilikosea kutoa pesa nikatumia namba ya wakala mwingine.nikawahi kupiga simu customer care.. maswali niliopata,...nipe namba ya passport yako, nikamwambia sina passport,nikaulizwa umesajili line lini, nikajibu mwaka sikumbuki lakini ni zaidi ya miaka miwili pia sina nyaraka kwa kua nipo barabarani naomba tu zuia hiyo pesa au rudisha tu kwenye namba yangu.

Dada kajibu kwa nyodo sifanyi kazi hiyo.Baada ya masaa mawili nikapata mstaarabu alieniambia hela wakala ameshatoa nisubiri hadi aweke.huu mwezi wa tatu sijarudishiwa
 
ImageUploadedByJamiiForums1404224362.476087.jpg Napenda kuja na masikitiko yangu kuhusu kampuni ya mawasiliano ya vodacom inavyotuletea usumbufu kwetu sisi wateja wa malipo ya kabla, sasa imekuwa kawaida kwa kampuni ya vodacom kubadili vifurushi vyake kila kukicha mara utakuta muda wa maongezi dakika 25 sms400 mb300 ukilala kesho utakuta dakika 22 sms500 mb150 .

Leo mudawa maongezi dk 20 sms200 mb75 mda si mrefu utakuta mabadiliko tena , sasa imekuwa hatuwaelewi na ukiwapigia cm utaambiwa kuna tatizo kesho tena mabadiliko mengine !

Mi nawaambia kama mnafanya biashara kuwa serious na bizzness acheni ubabaishaji kuweni na msimano waangalie i wenzeni tigo na airtel ukuti mabadiliko kila kukicha
ImageUploadedByJamiiForums1404224362.476087.jpg
 
ni kweli mkuu wanababaika sana mara leo namba nane kwa kukopa kesho namba hiyohiyo ni ya kifurushi cha internet!
 
View attachment 168205 Napenda kuja na masikitiko yangu kuhusu kampuni ya mawasiliano ya vodacom inavyotuletea usumbufu kwetu sisi wateja wa malipo ya kabla, sasa imekuwa kawaida kwa kampuni ya vodacom kubadili vifurushi vyake kila kukicha mara utakuta muda wa maongezi dakika 25 sms400 mb300 ukilala kesho utakuta dakika 22 sms500 mb150 . Leo mudawa maongezi dk 20 sms200 mb75 mda si mrefu utakuta mabadiliko tena , sasa imekuwa hatuwaelewi na ukiwapigia cm utaambiwa kuna tatizo kesho tena mabadiliko mengine ! Mi nawaambia kama mnafanya biashara kuwa serious na bizzness acheni ubabaishaji kuweni na msimano waangalie i wenzeni tigo na airtel ukuti mabadiliko kila kukicha

Mkuu mbona hata Airtel na Tigo wanabadilisha sana!!???
 
ni kweli mkuu wanababaika sana mara leo namba nane kwa kukopa kesho namba hiyohiyo ni ya kifurushi cha internet!

hAHAHA mkuu unabofya kwa kukariri au? nadhani hilo linafanyika kwasababu kunakuwa na products mpya so ili iwe rahisi kuonekana ndio inatolewa namba 8 huko kuwekwa namba 3 kama ilivyotokea kwa internet si unajua wabongo wavivu kusoma
 
Back
Top Bottom