Kwani we hujui wamiliki wa voda?
nasikia rostam ameuza share zake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani we hujui wamiliki wa voda?
Nmb system ndo mbovu na haifai kabisa me natumia crdb na stanbic bank nakula maisha tu
Na inasemekana vidacom walishawaambia nmb wabadilishe wakakataa chunguza kwenye mabenk ni wateja wa nmb tu cku zote ndo huibiwa
Nmb system ndo mbovu na haifai kabisa me natumia crdb na stanbic bank nakula maisha tu
Na inasemekana vidacom walishawaambia nmb wabadilishe wakakataa chunguza kwenye mabenk ni wateja wa nmb tu cku zote ndo huibiwa
Daaah, hizi ATM za sinza kijiweni nazo, sijui wahusika hawalioni hili...!!!? Na nadra sana kuzikuta zikiwa operatinal.Pole sana. Mimi sijashawishika na mobile banking nikikumbuka taabu ninayopata mara ninapokwenda kutoa hela kwenye baadhi ya ATM za NBC hasa hasa ile ya sinza kijiweni na hela haitoki lakini tayari kwenye akaunti ilishakatwa. Mlolongo huo hadi hela irudi inaweza kuchukua takribani mwezi mmoja. Sasa fikria kama ni mobile banking ambapo sasa uchunguzi itabidi uhusishe kampuni mbili tofauti je kama ndiyo hela pekee uliyonayo utaishi vipi?
bora umeliona hilo yani kuna watu wengine wana mawazo mgando unaulizwa Hili unajibu lileerolink inahusiana nini hapa kaka
Wahudumu wanaokuhudumia wana uelewa Mdogo' simply because wamekalilishwa mambo na hawajaexperiance wenyewe!
Kukatwa salio lako sio paka ujiunge na vifurushi au uaccess Internet'' la hasha.. Sim nyingi za kisasa tunazotumia zina applications nyingi ambazo zinakuwa online mda wote bila wewe kujua hivyo zinakula hela.
Hivyo ni kazi yako kujua aina ya sim unayotumia' ili kujiepusha na matumizi ya vocha usiyokusudia.
Takupa mfano mmoja' mimi natumia iPhone' hii sim yangu nikiweka vocha ya tsh 1000' bila kujiunga na kifurushi chochote, wala sijapiga simu na bila kuaccess Internet' ndani ya lisaa limoja nikicheki balance nakuta 0.00!!
Hivyo ili kujiepusha na gharama hizo kama sijanunua kifurushi cha Internet naweka OFF CELLULAR DATA na 3G'' nikifanya hivyo haikatwi hata cent ya vocha yangu. Then nikitaka kuaccess net Nanunua kifurushi kwanza ndo naweka ON.
Kwa upande wa mleta uzi' swala la sim yako kuwa disconnected halina uhusiano wowote na mtoa huduma au callcenter!! Pia kama wewe ni mtumiaji wa hizo huduma unapaswa kuwa na namba ya callcenter ya CRDB BANK' ili unapopatwa na tatizo kama hilo ukipiga sim upande mmja wakikuambia wasiliana na upande wa pili unapiga sim na kupata muafaka wa tatizo lako. Kwasababu zinazofanya kazi ni system hivyo sometimes kudelay kupo. Au kabla ya yote ulipaswa kuangalia salio lako la bank' maana kuna mda unaweza usipate ujumbe wa uthibitisho lakini ukicheck salio unaona limeongezeka..
Mwisho kwa telecommunications industry TZ Voda ndio kampuni yenye huduma nzuri Kwa wateja'' compered to other telecoms. Ingawa sio wazuri sana kivile lakini at least wanajitahidi.
Napenda kuja na masikitiko yangu kuhusu kampuni ya mawasiliano ya vodacom inavyotuletea usumbufu kwetu sisi wateja wa malipo ya kabla, sasa imekuwa kawaida kwa kampuni ya vodacom kubadili vifurushi vyake kila kukicha mara utakuta muda wa maongezi dakika 25 sms400 mb300 ukilala kesho utakuta dakika 22 sms500 mb150 .View attachment 168205 Napenda kuja na masikitiko yangu kuhusu kampuni ya mawasiliano ya vodacom inavyotuletea usumbufu kwetu sisi wateja wa malipo ya kabla, sasa imekuwa kawaida kwa kampuni ya vodacom kubadili vifurushi vyake kila kukicha mara utakuta muda wa maongezi dakika 25 sms400 mb300 ukilala kesho utakuta dakika 22 sms500 mb150 . Leo mudawa maongezi dk 20 sms200 mb75 mda si mrefu utakuta mabadiliko tena , sasa imekuwa hatuwaelewi na ukiwapigia cm utaambiwa kuna tatizo kesho tena mabadiliko mengine ! Mi nawaambia kama mnafanya biashara kuwa serious na bizzness acheni ubabaishaji kuweni na msimano waangalie i wenzeni tigo na airtel ukuti mabadiliko kila kukicha
ni kweli mkuu wanababaika sana mara leo namba nane kwa kukopa kesho namba hiyohiyo ni ya kifurushi cha internet!