Vodacom Tanzania yadaiwa kutowalipa mawakala wake wa huduma ya kifedha(M-Pesa) kamisheni zao

Biashara ya kibumbavu Sana. Voda ukipata kamisheni ya 200,000 wanakukata kodi ya 19,819.9. Unabaki Na 180,180.1
shida iko wapi mkuu umepata 180,000 yako imenyooka na mtaji wako upo pale pale Unapata hasara gani kwani? labda unambie hasara uliyopata kwa wewe kulipwa hyo 180k
 
Haha mkuu umeua
 
Umenena, nilifanya hii biashara nikaajiri mtu. Kuna siku nikaamua kuchukua kitabu cha miamala na kupiga hesabu kujua anayefaidi zaidi ni nani kati yangu na voda. Nilijiona ni kibarua tu. Niliwauzia wanaohitaji kuwa vibarua. Sio biashara hiyo
Karibu tu-BET
 
Nashukuru kujua tupo wengi....!!mimi nna wateja wangu nnaowajua ndo hua nawafanyia hvyo....!!na sifanyagi kwa mtu nisiyemjua

Sina namba ya wakala ila natoa pesa mitandao yote
MJINI WATU WANATUMIA AKILI TU,NGUVU ZINATUMIKA MASHAMBANI HUKO.

ujanja wangu wote nilikua sijui huu mchezo...acha niuanze nipate vi hela vya scrub namimi.

Nakuja PM kuku.uliza kitu mkuu,maisha matamu sana aseee ACHA VYUMA VIUMANE HIVI HIVI.
 
magode,
Kama wakala mkuu anachukua asilimia 20% ya malipo yako, je! waweza kunifahamisha ni kiasi gani wewe "M-pesa/Tigo-pesa Marchant" unapata (percentage-wise) kutokana na fedha uliyozalisha kwenye miamala uliyofanya kwa mwezi husika.
 
magode,
Kama wakala mkuu anachukua asilimia 20% ya malipo yako, je! waweza kunifahamisha ni kiasi gani wewe "M-pesa/Tigo-pesa Marchant" unapata (percentage-wise) kutokana na fedha uliyozalisha kwenye miamala uliyofanya kwa mwezi husika.
nakuwekea number pm utapiga nikupe maelezo kuandika kazi sana mkuu na niko busy!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…