Vodacom Tanzania yadaiwa kutowalipa mawakala wake wa huduma ya kifedha(M-Pesa) kamisheni zao

Vodacom Tanzania yadaiwa kutowalipa mawakala wake wa huduma ya kifedha(M-Pesa) kamisheni zao

Watanzania sisi tumejaliwa kulalamika... Mbona vodacom ndio mtandao unaoongoza kwa commission nzuri Kuliko wengine?... Bado kuna ofa kibao kila siku unapata 2500...1900 n. K.. Vodacom huwa wanalipa saa sita usiku siku ya mwisho wa mwezi... Sasa wamechelewa kidogo tu unalia... Mbona tigo wanachelewesha hulii... Airtel ndio kabisaa hawalipi kabisa siku nyingine mbona hulii... Wapongeze vodacom kwa kuwa na huduma bora bana.. Wewe kama kweli ni wakala umeelewa
 
Matusi tena chief? Mi pia nabiashara hizi zaidi ya moja huna la kunidanganya. Wadanganye wasojua.
Na ndo maana upo hapa kulalamika..kumbe nabishana na mtu mwenye uelewa mdogo sana! Unajua maana ya neno mjinga!?? Ujinga ni ignorance..ujinga ni kutojua na wewe kweli hujui lkn hata kujifunza hutaki! Hii ni comment yangu ya mwisho,sitaku-quat tena. Me nilikurahisishia km upo dar,njoo ofisini na ntakupa elf 10 km nauli uje uone watu tunavyofanyakazi. Hiyo nyumba unaiona kwenye avatar yangu imetoka kwenye biashara hiyo. Hiyo ni nyumba ya vyumba 3 na imekamilika kila kitu na nimepangisha kwa laki 4 na nusu nyumba nzima..wewe kaa kulalamika!!
 
Na ndo maana upo hapa kulalamika..kumbe nabishana na mtu mwenye uelewa mdogo sana! Unajua maana ya neno mjinga!?? Ujinga ni ignorance..ujinga ni kutojua na wewe kweli hujui lkn hata kujifunza hutaki! Hii ni comment yangu ya mwisho,sitaku-quat tena. Me nilikurahisishia km upo dar,njoo ofisini na ntakupa elf 10 km nauli uje uone watu tunavyofanyakazi. Hiyo nyumba unaiona kwenye avatar yangu imetoka kwenye biashara hiyo. Hiyo ni nyumba ya vyumba 3 na imekamilika kila kitu na nimepangisha kwa laki 4 na nusu nyumba nzima..wewe kaa kulalamika!!
Mkuu na usirudi tena ikiwezekana ufie huko huko kabisa. Kila mtu akiweka anachomiliki kwenye avatar saver haitatosha Muhaya wewe. Unatishia kutokujibu ? Acha nyodo Dada. Hiyo elfu wanunulie vitabu wadogo zako
 
Hivi nyinyi mnaijua hii biashara kweli!?? Hivi unashindwaje kupata hiyo milioni 3 km wateja wanakuja!?? Laki 6 ni mtaji mkubwa sana kwenye hiyo biashara. Muhimu ni wingi wa wateja. Hizo hela zinazozunguka ni za wateja. Unaweza kulala bila cash pesa yote ipo kwenye simu,lkn unafungua tu anakuja mteja kuweka laki 3,hiyo laki 3 cash na kwenye simu ina maana una laki 3. Wateja hawaji wa aina moja,watakuja wa kutoa na kuweka! Ambaye haamini km upo hapa dar,njoo pm uje ofisini nafunga saa 2. Ntakupa nauli elfu 10.
Mkuu tufahamishe mtu akiweka laki mbili wakala anapata commission sh ngapi? Na je kutoa laki mbili wakala anapata commission ya kiasi gani pia?
 
Miaka ya Nyuma hii biashara ilikuwa nzur lakin hawa jamaa wa mitandao waka punguza Commision

Tena kama Voda ndio waseng** zaidi.. Mtu unalipwa na cent yaa .85 ni ufala basi
 
Acha kuingiza watu mkenge kwa maslahi yako. Hiyo ni biashara ya kitumwa kabisa. Unaweza niambia kazi ya wakala mkuu kwa wakala mdogo ni ipi ? Na kwa mini kamisheni yake nikubwa kuliko ya wakala mdogo ambae ndie anatafuta wateja na kurisk pesa zake?
Natamani nitume kamisheni zangu Mzione
 
Hii biashara kwanza inabidi uwe wakala wa mitandao yote na pia benki kubwa zote......lakini pia uichanganye na biashara nyingine kama duka au steshenari
 
Na wewe usiwe mjinga,aliyekuambia wakala mkuu anapanga commission ni nani!?? Commission unalipwa na kampuni ya simu moja kwa moja. Na kwenye hilo,wakala mkuu hana hata ushauri. Halafu hii ni biashara km biashara zingine tu,hulazimishwi kufanya. Mimi hiyo ni kazi,naendesha maisha. Na km unataka kuamini na kujifunza hii biashara inalipa njoo pm me nakupa number yangu,uje ofisini hata sasa hivi km unaishi dar. Mimi nauli nitakupa 10 elf ili uje hapa useme ukweli. Mkuu unapofungua biashara yoyote,lazima uzingatie location,kwamba hilo eneo hiyo bidhaa inahitajika! Wewe unashangaa mimi kupata milioni!?? Mwaka 2013 niliwahi kupata milioni 3 na laki 1 kwa mtaji wa laki 6. Hapo ilikuwa kabla hatujaanza kukatwa kodi ya zuio.
Utakuwa chuma ulete wewe siyo bure!
 
Biashara ya kibumbavu Sana. Voda ukipata kamisheni ya 200,000 wanakukata kodi ya 19,819.9. Unabaki Na 180,180.1
 
Utakuwa chuma ulete wewe siyo bure!


Hivi unapataje kamisheni ya mil 3 kwa mzunguko wa laki 6 tu?

Hata kama kuna wateja wengi unagawanyaje laki 6 kwa wateja hao wote?

Je wakitoa utaenda kwanza kutoa cash bank ndo uwape?

Labda ukiwa na mtaji wa milion 15 unaweza kupata kamisheni ya mil 3 tena ukichanganya kamisheni za line zote

Lakin laki 6 utengeneze mil 3 udanganyifu wa kiwango cha lami.....
 
Uongo per se huu.
Tatizo wewe unakuwa na wivu bila hata kujua kile anachopata unayemuonea wivu. Wakala mkuu anapata 20% ya commission yako wewe. Yaani wewe ukipata laki 1 baada ya kodi ya zuio,wakala mkuu anapata elf 20. Kwa hiyo wakala mkuu anapata km nyie mawakala wake pia mnapata. Msipende kulalamika sana,hii biashara unaweza kuwa na mtaji wa milioni 1 km upo eneo lenye mzunguko Mkubwa wa watu,hiyo milioni inaweza kukuletea zaidi ya milioni kwa mwezi. Hizi biashara zinategemea mzunguko yaani uwe na wateja wa kufanya. Mm nna wastani wa kufanya miamala 90 mpaka 120 kwa siku kwenye tigo. Voda nafanya miamala 25 hadi 40 kwa siku. Airtel 15 hadi 35. Comission,tigo napata laki 9 hadi 1ml. Voda laki 2 na Airtel laki 1 na 20. Mtaji wangu ni milioni moja na nusu. Hebu niambie biashara nyingine ambayo unaweza kupata hiyo faida kwa huo mtaji.
 
Back
Top Bottom