MC44
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 2,169
- 3,297
Nipo kijijini na wateja wangu nawajua.Hii ni nzuri lakini ni risk hasa ktk mfumo wa sasa wa kucancel miamala[emoji3]
Aliwahi kufanya jamaa nikampeleka polisi.
Kijiji kizima walijua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo kijijini na wateja wangu nawajua.Hii ni nzuri lakini ni risk hasa ktk mfumo wa sasa wa kucancel miamala[emoji3]
Nipo kijijini na wateja wangu nawajua.
Aliwahi kufanya jamaa nikampeleka polisi.
Kijiji kizima walijua
Acha uongo chief mbali ya kuwa ni dhambi pia unawahadaa watu waingie kwenye biashara hii ya kipuuzi. Miamala 90 kwa Sikh upate kamisheni ya milioni? Wakala mkuu anakuangalia tu? Labda sio mitandao ya tz.Tatizo wewe unakuwa na wivu bila hata kujua kile anachopata unayemuonea wivu. Wakala mkuu anapata 20% ya commission yako wewe. Yaani wewe ukipata laki 1 baada ya kodi ya zuio,wakala mkuu anapata elf 20. Kwa hiyo wakala mkuu anapata km nyie mawakala wake pia mnapata. Msipende kulalamika sana,hii biashara unaweza kuwa na mtaji wa milioni 1 km upo eneo lenye mzunguko Mkubwa wa watu,hiyo milioni inaweza kukuletea zaidi ya milioni kwa mwezi. Hizi biashara zinategemea mzunguko yaani uwe na wateja wa kufanya. Mm nna wastani wa kufanya miamala 90 mpaka 120 kwa siku kwenye tigo. Voda nafanya miamala 25 hadi 40 kwa siku. Airtel 15 hadi 35. Comission,tigo napata laki 9 hadi 1ml. Voda laki 2 na Airtel laki 1 na 20. Mtaji wangu ni milioni moja na nusu. Hebu niambie biashara nyingine ambayo unaweza kupata hiyo faida kwa huo mtaji.
Huyu ni muongo wa kutupa achana naye mkuuAcha uongo chief mbali ya kuwa ni dhambi pia unawahadaa watu waingie kwenye biashara hii ya kipuuzi. Miamala 90 kwa Sikh upate kamisheni ya milioni? Wakala mkuu anakuangalia tu? Labda sio mitandao ya tz.
Na wewe usiwe mjinga,aliyekuambia wakala mkuu anapanga commission ni nani!?? Commission unalipwa na kampuni ya simu moja kwa moja. Na kwenye hilo,wakala mkuu hana hata ushauri. Halafu hii ni biashara km biashara zingine tu,hulazimishwi kufanya. Mimi hiyo ni kazi,naendesha maisha. Na km unataka kuamini na kujifunza hii biashara inalipa njoo pm me nakupa number yangu,uje ofisini hata sasa hivi km unaishi dar. Mimi nauli nitakupa 10 elf ili uje hapa useme ukweli. Mkuu unapofungua biashara yoyote,lazima uzingatie location,kwamba hilo eneo hiyo bidhaa inahitajika! Wewe unashangaa mimi kupata milioni!?? Mwaka 2013 niliwahi kupata milioni 3 na laki 1 kwa mtaji wa laki 6. Hapo ilikuwa kabla hatujaanza kukatwa kodi ya zuio.Acha uongo chief mbali ya kuwa ni dhambi pia unawahadaa watu waingie kwenye biashara hii ya kipuuzi. Miamala 90 kwa Sikh upate kamisheni ya milioni? Wakala mkuu anakuangalia tu? Labda sio mitandao ya tz.
Acha urongo wa mchana kweupeNa wewe usiwe mjinga,aliyekuambia wakala mkuu anapanga commission ni nani!?? Commission unalipwa na kampuni ya simu moja kwa moja. Na kwenye hilo,wakala mkuu hana hata ushauri. Halafu hii ni biashara km biashara zingine tu,hulazimishwi kufanya. Mimi hiyo ni kazi,naendesha maisha. Na km unataka kuamini na kujifunza hii biashara inalipa njoo pm me nakupa number yangu,uje ofisini hata sasa hivi km unaishi dar. Mimi nauli nitakupa 10 elf ili uje hapa useme ukweli. Mkuu unapofungua biashara yoyote,lazima uzingatie location,kwamba hilo eneo hiyo bidhaa inahitajika! Wewe unashangaa mimi kupata milioni!?? Mwaka 2013 niliwahi kupata milioni 3 na laki 1 kwa mtaji wa laki 6. Hapo ilikuwa kabla hatujaanza kukatwa kodi ya zuio.
Na wewe usiwe mjinga,aliyekuambia wakala mkuu anapanga commission ni nani!?? Commission unalipwa na kampuni ya simu moja kwa moja. Na kwenye hilo,wakala mkuu hana hata ushauri. Halafu hii ni biashara km biashara zingine tu,hulazimishwi kufanya. Mimi hiyo ni kazi,naendesha maisha. Na km unataka kuamini na kujifunza hii biashara inalipa njoo pm me nakupa number yangu,uje ofisini hata sasa hivi km unaishi dar. Mimi nauli nitakupa 10 elf ili uje hapa useme ukweli. Mkuu unapofungua biashara yoyote,lazima uzingatie location,kwamba hilo eneo hiyo bidhaa inahitajika! Wewe unashangaa mimi kupata milioni!?? Mwaka 2013 niliwahi kupata milioni 3 na laki 1 kwa mtaji wa laki 6. Hapo ilikuwa kabla hatujaanza kukatwa kodi ya zuio.
Acha urongo wa mchana kweupe
Siyo muongo tu na mnafiki wa kiwango cha hali ya juu mnoDuh kamisheni million 3 kwa mtaji wa laki 6?/huyu atakuwa muongo
Hivi nyinyi mnaijua hii biashara kweli!?? Hivi unashindwaje kupata hiyo milioni 3 km wateja wanakuja!?? Laki 6 ni mtaji mkubwa sana kwenye hiyo biashara. Muhimu ni wingi wa wateja. Hizo hela zinazozunguka ni za wateja. Unaweza kulala bila cash pesa yote ipo kwenye simu,lkn unafungua tu anakuja mteja kuweka laki 3,hiyo laki 3 cash na kwenye simu ina maana una laki 3. Wateja hawaji wa aina moja,watakuja wa kutoa na kuweka! Ambaye haamini km upo hapa dar,njoo pm uje ofisini nafunga saa 2. Ntakupa nauli elfu 10.Kamisheni million 3 kwa mtaji wa Laki 6?
uwakala ni biashara nzuri kama una wateja, hela yako muda wote unakuwa nayo cash, mtaji laki 2 unaweza kufanya miamala hata ya milioni 50
Safi sana mkuu...Hivi nyinyi mnaijua hii biashara kweli!?? Hivi unashindwaje kupata hiyo milioni 3 km wateja wanakuja!?? Laki 6 ni mtaji mkubwa sana kwenye hiyo biashara. Muhimu ni wingi wa wateja. Hizo hela zinazozunguka ni za wateja. Unaweza kulala bila cash pesa yote ipo kwenye simu,lkn unafungua tu anakuja mteja kuweka laki 3,hiyo laki 3 cash na kwenye simu ina maana una laki 3. Wateja hawaji wa aina moja,watakuja wa kutoa na kuweka! Ambaye haamini km upo hapa dar,njoo pm uje ofisini nafunga saa 2. Ntakupa nauli elfu 10.
Watu ni wajinga,anafanya miamala 300 kwa mwezi halafu anataka apate milioni. Mimi maisha yangu yapo kwenye hii biashara tangu mwaka 2011. Na sisi ni mawakala wa mwanzo kabisa na tulipewa laini bure na mtaji wa laki 3. Wakati Tigopesa ndo inaanza!Safi sana mkuu...
Duu noma sanaWatu ni wajinga,anafanya miamala 300 kwa mwezi halafu anataka apate milioni. Mimi maisha yangu yapo kwenye hii biashara tangu mwaka 2011. Na sisi ni mawakala wa mwanzo kabisa na tulipewa laini bure na mtaji wa laki 3. Wakati Tigopesa ndo inaanza!
mkekabetDuu noma sana
Matusi tena chief? Mi pia nabiashara hizi zaidi ya moja huna la kunidanganya. Wadanganye wasojua.Na wewe usiwe mjinga,aliyekuambia wakala mkuu anapanga commission ni nani!?? Commission unalipwa na kampuni ya simu moja kwa moja. Na kwenye hilo,wakala mkuu hana hata ushauri. Halafu hii ni biashara km biashara zingine tu,hulazimishwi kufanya. Mimi hiyo ni kazi,naendesha maisha. Na km unataka kuamini na kujifunza hii biashara inalipa njoo pm me nakupa number yangu,uje ofisini hata sasa hivi km unaishi dar. Mimi nauli nitakupa 10 elf ili uje hapa useme ukweli. Mkuu unapofungua biashara yoyote,lazima uzingatie location,kwamba hilo eneo hiyo bidhaa inahitajika! Wewe unashangaa mimi kupata milioni!?? Mwaka 2013 niliwahi kupata milioni 3 na laki 1 kwa mtaji wa laki 6. Hapo ilikuwa kabla hatujaanza kukatwa kodi ya zuio.
Umenena mkuu. Kuna pimbi humu anadanganya eti alipata kamisheni ya 3m kwa kizungusha laki 6.All the best kwa waliopata millions, I was doing this chuo.
Miamala Kama yote ila mwisho wa mwezi sikuwahi kutoboa 150,000/-
Kuna mtu alinishauri ninunue mashine ya selcom sema sikupataga maelezo clear.