Vodacom Tanzania yapata CEO Mpya, Hisham Hendi raia wa Misri

Mjadala ulishafungwa,

Njoo huku uone wenzako walileta hoja ya uzawa tulivyowagaragaza.

Nadhani ungeuliza sababu ya kukataliwa mkenya badala ya kuandika ngozi nyeupe na bhla-bhla zingine unazoleta. Hilo lilishakwisha na kama hukujua sababu ya huyo mkenya nyamaza. sababu zingine hazikuhusu kabisa na hustahili kuzifahamu. UNa hisa Voda? au unataka kuona tu mkenya unayemtaja kama mwanadada? Kwa kuwa ni mwanadada ndo apewe nafasi? The past has gone!
 
Very foolishly structured arguments. Yaani ikiwa ya binafsi haihusu nchi? Kama ni hivyo achana na mijadala kama hii. iko juu ya uwezo wako. Kuna kampuni ni sehemu ya ustawi na usalama wa nchi. iwe ya binafsi au ya serikali lazima ilindwe kiserikali.

Kinachowatuma kushabikia wakenya ni nini? Lini wakenya wameshabikia TZ? Stupidity must have limits!
 
Hahahaha, ulivyo taahira ukazani kuandika kingereza ndio utaonekana umeandika jambo la maana, uharo mtupu.

Dada, rudi shule uongeze maarifa. Ushauri wa bure nakupa, tafta mume uolewe, umuombe akurudishe shule uongeze maarifa.
 
Maandishi kama haya yananipa picha ya malezi yako. Yaani dada zako wako taabuni. Huoneshi ufahamu wa mambo ya kijamii, unahangika kushinda ktk majadiliano bila uchaguzi wa maneno.
Toa jibu. Kampuni ya binafsi haiihusu serikali?
 
Rudi shule uongeze maarifa uweze kuuliza maswali yenye mantiki na yanayoleta maana. Sio kila swali linalokuja kichwani mwako ni la kuuliza. Rudi shule ujifunze hayo mambo.

Nikushauri tu kua kukwepa shule hakuna mbadala. Ni eitha urudi shule tena au uachane na mambo au maswala yanayohitaji akili. Hili linahitaji akili na wewe hujaonyesha kama akili ipo.
 
....................
Nikushauri tu kua kukwepa shule hakuna mbadala. Ni eitha urudi shule tena au uachane na mambo au maswala yanayohitaji akili. Hili linahitaji akili na wewe hujaonyesha kama akili ipo.
Hilo neno eitha lina maana gani? ni lugha gani?
 
Mwanamme mzima unakubali kabisa mwanammke wa Kenya akamate Vofacom? Wakenya unawajua au unawasikia? Yule aliyekuja kwa mbwembwe na kusaini mkataba feki wa kununua korosho tena mbele ya jopo la mawaziri UMEMUONA AKIJA KULIPIA NA KUCHUKUA KOROSHOW????
 
Kwani ameshapewa work permit? Akija ku-renew work permit kwa level ya u- CEO tutamwambia wapo waTanzania wanaoweza kuifanya hiyo kazi, full stop.
 
Nyie watu mbona mnaongea as if ameshapewa work permit kwa class hiyo ya kazi, yaani MD? Kuteuliwa ni jambo moja, na kupewa work permit ni kitu kingine
 
Kwani wanaomiliki VODACOM ni serikali iliyomkataa? Wanaomiliki si ndiyo waliomteua huyo dada. Hujui hili?

Shame for the nation to have someone like you!
Samahani, anaetoa work permit kwa wageni ni serikali au Vodacom? Samahani lakini
 
Wa-Kenya wengi janja-janja hususani kwenye pesa/deals/rushwa. Japo wanajua kuji-market/lobbying
 
Kuna sababu yoyote ya msingi nyuma ya hiyo dhana?
Kwa nini akimaliza muda wake na thamani yake inaisha?
 
Unachokisema ni kweli na hii imetokana na kampni zetu kuongozwa na vilaza maana kama wewe ni brilliant post kama hiyo inakufanya uwe consultant wa telecommunication dunia nzima, utakimbiliwa na university nyingi duniani.

Badala yake wanaenda kufuga kuku, kusafirisha mazao, kukdisha magari biashara zingine zinazodhihirisha umbumbumbu wao.
 
Nashauri Kama hujui lolote kuhusu maswala ya ulinzi na usalama wa taifa jaribu kuwa msomaji tu na si mchangiaji kwa ushabiki.

Tulieni nchi inakwenda sehemu sahihi kama ilivyokua lengo la baba wa taifa mwalimu Nyerere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…