Manyunyuyote
Member
- Feb 1, 2017
- 66
- 39
Mjadala ulishafungwa,
Njoo huku uone wenzako walileta hoja ya uzawa tulivyowagaragaza.
Njoo huku uone wenzako walileta hoja ya uzawa tulivyowagaragaza.
Mnamo mwezi wa tisa mwaka jana aliyekuwa ameteuliwa kuwa boss wa Vodacom hapa nchini Bi Sylvia Mulinge kutoka kenya alinyimwa kibali cha kufanya kazi kwa kile kilichoelezwa kuwa kuna Watanzanina kibao wenye sifa za kushika nafasi hio. Lakini hivi majuzi nafasi hiyo amechukua Hisham Hendi, raia wa Misri. Kinachonichangaya ni kwa vipi yule alinyimwa kibali na huyu kapata kapata? Kwa nini umnyime kibali raia wa Jumuia ya Afrika Mashariki na umpe kibali raia wa mbali kabisa? Hii hainiingii akilini.
Kama yameandikwa maneno mengi yakakosa ufafanuzi na wewe ukauliza ufafanuzi kwa hayo tu matatu niliyo-bold basi laumu akili yako kwa ugumu wa kuelewa.
NImeshaeleza jinsi Idrsa alivyojikita huku na kule kupiga majungu aonekane anaonewa lakini haikufua dafu na bahati nzuri hupingi hiki wala huulizi na asante kwa kukiamini.
Kitendo cha Idrisa mzawa kukaa na asitimize miaka miwili kinatosha kuonyesha alivyo-underperform.
Legacy ya Idrisa ni mbaya maana kushindwa kwake kama mzawa kumesababisha mtanzania asipewe tena kuongoza VODACOM tangu alipoondoka kukimbilia vibenki vidogo-vidogo.
Wewe umewahi kuwa Gavana BoT. Tulitarajia uitwe IMF kama mwenzake Edwin Mtei unaishia kuhangaika na vibenki vidogo-vidogo, tena vinavyoendana na dini yako. Je, usingekuwa na hiyo dini, si ungeuza nyanya.
Rena Meze simjui sana maana amekuja nikiwa sipo nchini. Lakini nilichosikia ni kwamba aliondoka ndani ya wiki moja baada ya scandal ya SHIVACOM kuvuma mitandaoni.