Vodacom Tanzania yapata CEO Mpya, Hisham Hendi raia wa Misri

Wapo hadi wanaosema mwarabu aliwafundisha kunawa mævi na kula kwa mkono wa kulia,jiulize penye jamii duni kama hii kwanini tusiendele kuleteana uchawi?

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Wakenya si watu wa kushobokea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usijaribu sumu kwa kuionja. TISS wanawezafanya kazi nyingine na si kumweka mtu una mashaka naye naye eti ili TISS wamfatilie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilijua Mtanzania mwenzetu. Unafiki hatujambo tumemkataa mwana EastAfrica tumemtunuku Mmisri.
 
Big up 100%
 
Mambo mengine yanakuwa nje ya uwezo wa waleta mada.
 
Rudi shule uongeze maarifa. Hujui kua hii EAC ya sasa ni kwa mara pili, hujui kua iliwahi kuwepo na ikavunjika?
Nadhani wewe ndio urudi shule maana huwezi andika vitu vizuri nadhnli elimu yako yakukariri umeshindwa hata kutofautisha kati ya newly EAC na the old one in writing ...nonsense

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Issue sio kwamba kampuni ni yetu au sio yetu bali ni kampuni inayofanya kazi Tanzania! Bila kujali inamilikiwa na nani, huwezi kupuuza ajira walizonazo Watanzania kutoka Vodacom! Huwezi kupuuza kodi inayolipwa na Vodacom!!! Huwezi kupuuza biashara kadhaa zinazotokana na uwepo wa Vodacom! Lakini kubwa zaidi, huwezi kupuuza kwamba Vodacom ipo listed Dar es salaam Stock Exchange na kwahiyo kuna maelfu ya Watanzania wenye hisa zao Vodacom kupitia 25% ya hisa ambazo ziliingizwa sokoni!

Lakini pamoja na hayo, Rostam Aziz alikuwa anamiliki zaidi ya 25% ya hisa za Vodacom ambazo iliripotiwa aliziuza au yupo njiani kuziuza baada ya kukubaliwa na mamlaka! You never know, labda mnunuzi au wanunuzi wa hizo 25+% ya hisa za Rostam ni pamoja na Watanzania!!!

So, kampuni kama hiyo huwezi kusema awe Mkenya au Mzulu, it doesn't matter kwa sababu Vodacom ni ya SA !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…