Vodacom Tanzania yapata CEO Mpya, Hisham Hendi raia wa Misri

Hii ya serikali kumkataa Mkenya na kumkubali Mmisri sijaikubali kabisa... waarabu sio watu. Wabaguzi sanaView attachment 1055046

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo hamna Mtanzania mwenye sifa za kuchukua nafasi hiyo paka walete mwaarabu.......unakata mwana Africa mashariki mkenya unaleta mwaarabu.....hiyo ndotatizo la nchi ambazo hazinaga sera maalumu ya nchi za nje(clear foreign policy) nchi inaendesha kwa matakua ya viongozi wa siasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wabongo hizi kazi kubwa haziwafai wanalewa madaraka haraka sana utasikia huu mkutano wa cuf nimeuzuia
 
Wrong Vodacom SA is also owned by Vodafone UK!
 
Jamaa aliposema kuwa Vodacom Tz si Wabongo ni ya SA nilidhani sijui biashara maanake nakumbuka wabongo akiwemo uliemtaja wana shares kubwa tu.
 
Yani kwao ni bora mmisri kuliko Mchaga mtanzania mwenzako. Kwasababu iyo nafasi walishaona hamna mtanzania mwengine mwenye vigezo ispokuwa Mchaga tuu. Wakaamua kumchukua mwarabu wawe na amani.
 
Mbona watanzani hao hao tukiwa nje tunafanya vizuri, kwanini hawakumtafuta mtanzani wa hapo hapo nyumbani kuendesha hiyo kampuni? Haya mambo ya infiriority complex yananiudhi sana.

Watanzania tunaweza - JPM
 
Mbona watanzani hao hao tukiwa nje tunafanya vizuri, kwanini hawakumtafuta mtanzani wa hapo hapo nyumbani kuendesha hiyo kampuni? Haya mambo ya infiriority complex yananiudhi sana.

Watanzania tunaweza - JPM
Tatizo watz Wengi janja janja nyingi, ila hapa kwa mmisri tumeingia mkenge maana hawa jamaa wametushinda hata sisi kwa udokozi.
 

Ali Mafuruki mwenyewe alisema hakuna mtanzania anayeweza kuongoza kampuni kama VODACOM. Katika hili tumuunge mkono. Kuna watanzania wamo VODACOM tangu imeanzishwa yaani wana miaka 19 sasa ndani ya VODACOM.

Hawa wana kazi ya kutueleza VODACOM waliitumia vipi kukuza ujuzi wao kuiongoza. Je walipanda (ku-grow) kimaisha au walipnada kiujuzi.
 
Tatizo watz Wengi janja janja nyingi, ila hapa kwa mmisri tumeingia mkenge maana hawa jamaa wametushinda hata sisi kwa udokozi.


Na ndicho kilichwaangusha watanzania waliowahi kufanya kazi VODACOM. Ujanja-ujanja mwingi. Wengine wake zao wakaishia kuvua nguo hadharani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…