Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahaaa haaa haaa
vitu vingine viko wazi kabisa. hakuna haja ya kulumbana. angalia wasifu wa hao WATU wawili. halafu utajua yupi anafaa.
Nikuelekeze kidogo... Kwa sasa tz hawatoi renew or new permits kwa wafanyakazi toka nje... Wameweka hili nazani ili kupigania ajira kwa waliopo ndio maana umeona hata multchoice wamepata mkurugnzi mzawa... Nk.... Yani permit yako ikiisha kupata mpya ni ngumu sana.... Wanao Fanya kwenye mashirika ya wakimbizi wana jua kinacho tokea huko.... Wakenya waganda wazimbabwe nk permits zao zeisha waeamishiwa Uganda na wengine ndio kazi basi pia coz of permits...Hii michezo haichezwi kwenye level ya Wabongo, hii ni level ya juu kama ilivyo kwenye gesi ambapo mnaliwa huko huko tu tena ndani ya Bongoland, simu ikipigwa kutoka kwa wakubwa mnanywea.
Kuna vitu ujifunze kuhusu corporate recruitment and head hunting, jiulize kwanini Watanganyika zaidi ya milioni 55 ambao ni wazi kunao wenye wasifu bora kumzidi mama nintilie wetu, lakini wamekataliwa wote.
Wakikupa 5M utaiba... Bora wakupe 25+M ndio maana wakaenda tafuta mkoromije tokA Kenya... Na hivi wakina Dada MNA heshimika kwa kutokuwa wezii na nikaisi labda wata waona wakina mwamvita na kuwapa hizo 5MHivi wakichagua mweusi kama mimi wakanipa salary ya 5m nikafanya kazi kubw watakufa? Au nikuteua vyeupe mshahara 25m+
Kuna vitu ujifunze kuhusu corporate recruitment and head hunting, jiulize kwanini Watanganyika zaidi ya milioni 55 ambao ni wazi kunao wenye wasifu bora kumzidi mama nintilie wetu, lakini wamekataliwa wote.
Nikuelekeze kidogo... Kwa sasa tz hawatoi renew or new permits kwa wafanyakazi toka nje... Wameweka hili nazani ili kupigania ajira kwa waliopo ndio maana umeona hata multchoice wamepata mkurugnzi mzawa... Nk.... Yani permit yako ikiisha kupata mpya ni ngumu sana.... Wanao Fanya kwenye mashirika ya wakimbizi wana jua kinacho tokea huko.... Wakenya waganda wazimbabwe nk permits zao zeisha waeamishiwa Uganda na wengine ndio kazi basi pia coz of permits...
Hivyo sio wivu ndio maana huyu kapewa acting labda huko mbele wana weza mpya moja kwa moja... Wakimalza kuelewana
Ahaaa haaa haaa
nilichojifunza ni kuwa, msipokuwa macho corporate za nchini zinaweza zikaendeshwa kama matatu za Nairobi. no proper recruitment. mtu LABDA huyo ni hawala wake (nasikia mama lishe hanaga mme) anaanza kumpigia debe ili hiyo ngoma yake iwe karibu.
Wataalam wa corporate recruitment huwa hawana mawazo ya chini ya kiwango kama yako, ni level tofauti kabisa na ukiona wameamua kumfuata huyo mama nitilie wetu kwa hali na mali na kubembeleza na kukatalia mbali Watanganyika zaidi ya milioni 55, basi ujue anayo umuhimu mkubwa sana zaidi yenu.
Ahaaa haaa haaa
Mimi siongei mengi. angalia wasifu wa kila mmoja, ndiyo utaelewa ninacho MAANISHA.
Nimekuambia corporate recruitment huwa haiishii kwenye kuangalia makaratasi ya wasifu, kwanza wenyewe hufanya head hunting, yaani wanakuteua hata kabla hujaomba wadhifa huo. Wewe unafikiria ni yale mahangaiko yako ya kuzunguka kwenye kila kampuni kwenye hilo joto na uchafu wa Dar ukiwapa makaratasi yako na kusubiri kwa hamu upigiwe simu.
Nikuelekeze kidogo... Kwa sasa tz hawatoi renew or new permits kwa wafanyakazi toka nje... Wameweka hili nazani ili kupigania ajira kwa waliopo ndio maana umeona hata multchoice wamepata mkurugnzi mzawa... Nk.... Yani permit yako ikiisha kupata mpya ni ngumu sana.... Wanao Fanya kwenye mashirika ya wakimbizi wana jua kinacho tokea huko.... Wakenya waganda wazimbabwe nk permits zao zeisha waeamishiwa Uganda na wengine ndio kazi basi pia coz of permits...
Hivyo sio wivu ndio maana huyu kapewa acting labda huko mbele wana weza mpya moja kwa moja... Wakimalza kuelewana
Hmm!... 🙂🙂🙂Hehehee!!! Yaani imeshindikana kumpata Mtanganyika ndani ya watu zaidi ya milioni 55, kwamba serikali ikigomea Mkenya inabidi atafutwe Mmisri.
Halafu hapo kwenye statement ya mwisho inaonyesha bado huyo mama ntilie wetu anasubiriwa na hao Vodacom.
Anthony Mavunde – the deputy minister of State in the Prime Minister’s Office (Policy, Parliamentary Affairs, Labour, Employment, Youth and the Disabled) – said the government was still working on Ms Mulinge’s work permit application, doing so in collaboration with Vodacom-Tanzania.
Hapo awali walikuwa wamapewa wangapi? Ni mia mbili? Ili tuseme sasa wametoa vingi zaidi... Ninacho zungumza sio habari za magazetiniWewe naona uko nyuma ya habari za nchi yako, mwaka huu nchi yako imetoa vibali vipya 400
Unafaa ufahamu kuna kazi lazima zifanywe na wageni, umeze au uteme...makampuni yenu ndio yanakesha uhamiaji yakiombea wageni vibali maana hayana imani na wazawa waliojaa uswahili mwingi.
Sio kama awali kataa.. Endelea kubisha boss... Sina muda wa kubishana na wawekezaji...Hiyo ya kuzuia ku-renew permits si kweli ,permits zinatoka kama kawaida. Wakenya ,Wahindi kibao wamepata working permits mpya.
Hiki cheo si wampe,yule jamaa aliyetoka mgodini,Kama sikosei ni Ndugu Mwanyika,Hehehee!!! Yaani imeshindikana kumpata Mtanganyika ndani ya watu zaidi ya milioni 55, kwamba serikali ikigomea Mkenya inabidi atafutwe Mmisri.
Halafu hapo kwenye statement ya mwisho inaonyesha bado huyo mama ntilie wetu anasubiriwa na hao Vodacom.
Anthony Mavunde – the deputy minister of State in the Prime Minister’s Office (Policy, Parliamentary Affairs, Labour, Employment, Youth and the Disabled) – said the government was still working on Ms Mulinge’s work permit application, doing so in collaboration with Vodacom-Tanzania.
Hapo awali walikuwa wamapewa wangapi? Ni mia mbili? Ili tuseme sasa wametoa vingi zaidi... Ninacho zungumza sio habari za magazetini