Hiki cheo si wampe,yule jamaa aliyetoka mgodini,Kama sikosei ni Ndugu Mwanyika,
duh yaani utoke kwenye mgodi.. uendeshe biashara ya mawasiliano tena uwe ceo .. hiyo ipo serikalini tu sababu hawaogopi hasara.. wanateuana tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiki cheo si wampe,yule jamaa aliyetoka mgodini,Kama sikosei ni Ndugu Mwanyika,
Huyo mama kazi zinamtafuta jombaa, kuna wale ambao wanangoja kumnyakua.Hamuwajui wabongo nyie, mtaendelea kusubiri hadi 2030,
In short Huyo mama atafute kazi ya kufanya,
Hakuna Permit.
Wewe umesema Tanzania haitoi vibali tena, nikakutaarifu uhamiaji juzi wametangaza kwamba wametoa vibali 400, sasa unachong'ang'ania ni nini haswa. Kwa nchi kama yenu hamuwezi kujaza pengo zote bila uhusika wa wageni, mfumo wenu wa elimu upo chini sana, uchapa kazi wa Kibongobongo ni majanga tu.
Kwanza serikali yenu ndio imekua ikiwalinda na kufanya ngumu kupatikana kwa hivyo vibali, ila makampuni yenu ambayo yamemilikiwa na Watanzania yangeulizwa yangewajaza Wakenya na Waganda kwenye nyadhifa zote..
Hii picha hapa labda itakusaidia kuelewa kitu, yaani hata kwa Watanzania wenyewe inabidi watafutwe waliosomea Kenya
View attachment 862761
Nyie mnachokijua sana na kusifiwa ni hiki hapa chini
View attachment 862763
Food science and technology.Sylvia Mulinge - CV BIO
The Kenyan national holds a Bachelor of Science degree in Food Science and Technology from the University of Nairobi.
She began her career in August 2004, at Unilever, the European consumer products conglomerate, where she worked as the assistant regional brand manager in the laundry division, based in Durban, South Africa.
Thereafter, she was transferred to Kenya as the brand manager for Sunlight, which is the company’s leading brand where she worked until January 2006 before joining Safaricom as the pre-pay product manager, until November 2007.
When in December 2007, she was promoted to the rank of Head of Retail, in which position she served until August 2009.
For the 21 months, from August 2009 until April 2011, she worked as the Head of Safaricom Business, responsible for sales.
In May 2011, she was promoted to General Manager for Enterprise Business, working in that capacity for the next four years.
In May 2015, she was promoted to her current position as the Director of Consumer Business at Safaricom. She has risen through the ranks at the company to become a member of the senior management team at the company.
Source : Safaricom's Sylvia Mulinge's career profile
Read more : Safaricom top manager off the hook in traffic offence case
Kwa Bob wa Safaricom ni bora kuliko Wakenya wote milioni 50?Wataalam wa corporate recruitment huwa hawana mawazo ya chini ya kiwango kama yako, ni level tofauti kabisa na ukiona wameamua kumfuata huyo mama nitilie wetu kwa hali na mali na kubembeleza na kukatalia mbali Watanganyika zaidi ya milioni 55, basi ujue anayo umuhimu mkubwa sana zaidi yenu.
Hizo shule wanatafuta English Teachers, Kenyans mko vizuri sana kwenye hiyo Lugha ya Malkia, Nothing more.Wewe umesema Tanzania haitoi vibali tena, nikakutaarifu uhamiaji juzi wametangaza kwamba wametoa vibali 400, sasa unachong'ang'ania ni nini haswa. Kwa nchi kama yenu hamuwezi kujaza pengo zote bila uhusika wa wageni, mfumo wenu wa elimu upo chini sana, uchapa kazi wa Kibongobongo ni majanga tu.
Kwanza serikali yenu ndio imekua ikiwalinda na kufanya ngumu kupatikana kwa hivyo vibali, ila makampuni yenu ambayo yamemilikiwa na Watanzania yangeulizwa yangewajaza Wakenya na Waganda kwenye nyadhifa zote..
Hii picha hapa labda itakusaidia kuelewa kitu, yaani hata kwa Watanzania wenyewe inabidi watafutwe waliosomea Kenya
View attachment 862761
Nyie mnachokijua sana na kusifiwa ni hiki hapa chini
View attachment 862763
Sisi hatujawa na wivu wa kijinga, hivyo kama head hunters wameona huyo Bob ni bora, then well and good, inabidi tujiboreshe badala ya kulialia taifa lote mwanamke Mkenya amewanyima usingizi.Kwa Bob wa Safaricom ni bora kuliko Wakenya wote milioni 50?
Taifa lote.Sisi hatujawa na wivu wa kijinga, hivyo kama head hunters wameona huyo Bob ni bora, then well and good, inabidi tujiboreshe badala ya kulialia taifa lote mwanamke Mkenya amewanyima usingizi.
Taifa lote.
Hicho ni kituko. Si Taifa lote. Kama idara ya uhamiaji wamezuia kibali wana sababu zao.
Hapa Nchini wapo CEO wengi tu wa nje na wanaendelea na mikataba yao. Sylivia si mtu special sana kwetu
Lakini yeye ndiye ame-generate interest zaidi ya hao CEO wote, anajadiliwa hadi na wabunge wenu akina Zitto Kabwe, yaanchi yote mama mmoja kawashika pabaya, huku mumeanzisha nyuzi lukuki kwa ajili huyo huyo mama
The Power of JF!It took only one JF thread for this
Elimu yake na uzoefu wake haukuwa wa kiwango !Kwa hiyo tulimkataa Mkenya ili tupate Mmisri?
Tumekosa Mtanzania hadi tukampa huyo Mwarabu wa Misri?Elimu yake na uzoefu wake haukuwa wa kiwango !
Ndo keshakataliwa permit. Acha mwarabu atumike wakati tunatafuta mTanganyikaHehehee!!! Yaani imeshindikana kumpata Mtanganyika ndani ya watu zaidi ya milioni 55, kwamba serikali ikigomea Mkenya inabidi atafutwe Mmisri.
Halafu hapo kwenye statement ya mwisho inaonyesha bado huyo mama ntilie wetu anasubiriwa na hao Vodacom.
Anthony Mavunde – the deputy minister of State in the Prime Minister’s Office (Policy, Parliamentary Affairs, Labour, Employment, Youth and the Disabled) – said the government was still working on Ms Mulinge’s work permit application, doing so in collaboration with Vodacom-Tanzania.
Is Egypty in Asia or Europe? You are the one who hates people of color even though they are AfricansThis is Africa - the continent where we hate our own. Pandering to Whites and Asians is our hobby.
Kama kwa mwaka vibali 400 basi ni kweli wamebana. Hivyo vibali zamani vikitoka kwa mwezi mmoja sio januari hadi agosti. Safi sana serikali kuwabana matapeli wa kikenya kuja kuiba ajira Tanzania. Viva MagufuliWewe umesema Tanzania haitoi vibali tena, nikakutaarifu uhamiaji juzi wametangaza kwamba wametoa vibali 400, sasa unachong'ang'ania ni nini haswa. Kwa nchi kama yenu hamuwezi kujaza pengo zote bila uhusika wa wageni, mfumo wenu wa elimu upo chini sana, uchapa kazi wa Kibongobongo ni majanga tu.
Kwanza serikali yenu ndio imekua ikiwalinda na kufanya ngumu kupatikana kwa hivyo vibali, ila makampuni yenu ambayo yamemilikiwa na Watanzania yangeulizwa yangewajaza Wakenya na Waganda kwenye nyadhifa zote..
Hii picha hapa labda itakusaidia kuelewa kitu, yaani hata kwa Watanzania wenyewe inabidi watafutwe waliosomea Kenya
View attachment 862761
Nyie mnachokijua sana na kusifiwa ni hiki hapa chini
View attachment 862763
Naona wivu sasa umeulekeza kwa Safaricom.Now Trending
Their company is (famously) nick named as
Kenya’s Most Corrupt Company Safaricom because of its traits. Actually we are worrying to import such behavior to our mighty telecom company VodaCom.
Sylvia Mulinge Speaks
Safaricom Sends Lobbyists To Tanzania To Help Sylvia Mulinge Get Work Permit.
Kenya's Most Corrupt Company Safaricom's Sylvia Mulinge Denied Vodacom Tanzania Work Permit
Fate Of Kenya's Most Corrupt Company Safaricom's Sylvia Mulinge Sealed