Vodacom-TZ Kaimu mkurugenzi apatikana

Vodacom-TZ Kaimu mkurugenzi apatikana

Hiki cheo si wampe,yule jamaa aliyetoka mgodini,Kama sikosei ni Ndugu Mwanyika,

duh yaani utoke kwenye mgodi.. uendeshe biashara ya mawasiliano tena uwe ceo .. hiyo ipo serikalini tu sababu hawaogopi hasara.. wanateuana tu
 
Wewe umesema Tanzania haitoi vibali tena, nikakutaarifu uhamiaji juzi wametangaza kwamba wametoa vibali 400, sasa unachong'ang'ania ni nini haswa. Kwa nchi kama yenu hamuwezi kujaza pengo zote bila uhusika wa wageni, mfumo wenu wa elimu upo chini sana, uchapa kazi wa Kibongobongo ni majanga tu.
Kwanza serikali yenu ndio imekua ikiwalinda na kufanya ngumu kupatikana kwa hivyo vibali, ila makampuni yenu ambayo yamemilikiwa na Watanzania yangeulizwa yangewajaza Wakenya na Waganda kwenye nyadhifa zote..

Hii picha hapa labda itakusaidia kuelewa kitu, yaani hata kwa Watanzania wenyewe inabidi watafutwe waliosomea Kenya

View attachment 862761

Nyie mnachokijua sana na kusifiwa ni hiki hapa chini

View attachment 862763

😀😀😀😀😀😀😀
 
Sylvia Mulinge - CV BIO

The Kenyan national holds a Bachelor of Science degree in Food Science and Technology from the University of Nairobi.

She began her career in August 2004, at Unilever, the European consumer products conglomerate, where she worked as the assistant regional brand manager in the laundry division, based in Durban, South Africa.

Thereafter, she was transferred to Kenya as the brand manager for Sunlight, which is the company’s leading brand where she worked until January 2006 before joining Safaricom as the pre-pay product manager, until November 2007.

When in December 2007, she was promoted to the rank of Head of Retail, in which position she served until August 2009.

For the 21 months, from August 2009 until April 2011, she worked as the Head of Safaricom Business, responsible for sales.

In May 2011, she was promoted to General Manager for Enterprise Business, working in that capacity for the next four years.

In May 2015, she was promoted to her current position as the Director of Consumer Business at Safaricom. She has risen through the ranks at the company to become a member of the senior management team at the company.
Source : Safaricom's Sylvia Mulinge's career profile

Read more : Safaricom top manager off the hook in traffic offence case
Food science and technology.
 
Wataalam wa corporate recruitment huwa hawana mawazo ya chini ya kiwango kama yako, ni level tofauti kabisa na ukiona wameamua kumfuata huyo mama nitilie wetu kwa hali na mali na kubembeleza na kukatalia mbali Watanganyika zaidi ya milioni 55, basi ujue anayo umuhimu mkubwa sana zaidi yenu.
Kwa Bob wa Safaricom ni bora kuliko Wakenya wote milioni 50?
 
Wewe umesema Tanzania haitoi vibali tena, nikakutaarifu uhamiaji juzi wametangaza kwamba wametoa vibali 400, sasa unachong'ang'ania ni nini haswa. Kwa nchi kama yenu hamuwezi kujaza pengo zote bila uhusika wa wageni, mfumo wenu wa elimu upo chini sana, uchapa kazi wa Kibongobongo ni majanga tu.
Kwanza serikali yenu ndio imekua ikiwalinda na kufanya ngumu kupatikana kwa hivyo vibali, ila makampuni yenu ambayo yamemilikiwa na Watanzania yangeulizwa yangewajaza Wakenya na Waganda kwenye nyadhifa zote..

Hii picha hapa labda itakusaidia kuelewa kitu, yaani hata kwa Watanzania wenyewe inabidi watafutwe waliosomea Kenya

View attachment 862761

Nyie mnachokijua sana na kusifiwa ni hiki hapa chini

View attachment 862763
Hizo shule wanatafuta English Teachers, Kenyans mko vizuri sana kwenye hiyo Lugha ya Malkia, Nothing more.
 
Kwa Bob wa Safaricom ni bora kuliko Wakenya wote milioni 50?
Sisi hatujawa na wivu wa kijinga, hivyo kama head hunters wameona huyo Bob ni bora, then well and good, inabidi tujiboreshe badala ya kulialia taifa lote mwanamke Mkenya amewanyima usingizi.
 
Sisi hatujawa na wivu wa kijinga, hivyo kama head hunters wameona huyo Bob ni bora, then well and good, inabidi tujiboreshe badala ya kulialia taifa lote mwanamke Mkenya amewanyima usingizi.
Taifa lote.
Hicho ni kituko. Si Taifa lote. Kama idara ya uhamiaji wamezuia kibali wana sababu zao.

Hapa Nchini wapo CEO wengi tu wa nje na wanaendelea na mikataba yao. Sylivia si mtu special sana kwetu
 
Lakini yeye ndiye ame-generate interest zaidi ya hao CEO wote, anajadiliwa hadi na wabunge wenu akina Zitto Kabwe, yaanchi yote mama mmoja kawashika pabaya, huku mumeanzisha nyuzi lukuki kwa ajili huyo huyo mama
 
Ahaaa haaa haaa
You guys r so funny.
our country is very keen to traitors.
 
Hehehee!!! Yaani imeshindikana kumpata Mtanganyika ndani ya watu zaidi ya milioni 55, kwamba serikali ikigomea Mkenya inabidi atafutwe Mmisri.
Halafu hapo kwenye statement ya mwisho inaonyesha bado huyo mama ntilie wetu anasubiriwa na hao Vodacom.

Anthony Mavunde – the deputy minister of State in the Prime Minister’s Office (Policy, Parliamentary Affairs, Labour, Employment, Youth and the Disabled) – said the government was still working on Ms Mulinge’s work permit application, doing so in collaboration with Vodacom-Tanzania.
Ndo keshakataliwa permit. Acha mwarabu atumike wakati tunatafuta mTanganyika
 
Wewe umesema Tanzania haitoi vibali tena, nikakutaarifu uhamiaji juzi wametangaza kwamba wametoa vibali 400, sasa unachong'ang'ania ni nini haswa. Kwa nchi kama yenu hamuwezi kujaza pengo zote bila uhusika wa wageni, mfumo wenu wa elimu upo chini sana, uchapa kazi wa Kibongobongo ni majanga tu.
Kwanza serikali yenu ndio imekua ikiwalinda na kufanya ngumu kupatikana kwa hivyo vibali, ila makampuni yenu ambayo yamemilikiwa na Watanzania yangeulizwa yangewajaza Wakenya na Waganda kwenye nyadhifa zote..

Hii picha hapa labda itakusaidia kuelewa kitu, yaani hata kwa Watanzania wenyewe inabidi watafutwe waliosomea Kenya

View attachment 862761

Nyie mnachokijua sana na kusifiwa ni hiki hapa chini

View attachment 862763
Kama kwa mwaka vibali 400 basi ni kweli wamebana. Hivyo vibali zamani vikitoka kwa mwezi mmoja sio januari hadi agosti. Safi sana serikali kuwabana matapeli wa kikenya kuja kuiba ajira Tanzania. Viva Magufuli
 
Hivi kuna vitu huwa tunafanya kwenye hii mitandao vya ajabu saana kama kumuita huyu dada eti Mama lishe
Hivi mnajua financial performance ya Safaricom ??
Hivi mnafahamu yeye amechangia kiasi gani kwenye performance ya Safaricom ???
Hamuelewi kwanini baada ya mizengwe kama hii watu kama Rostam Abdulrasool Aziz wanauza shares zao Vodacom ??
Kwa taarifa yenu Safaricom chukua profit ya 10 most profitable business sum them up hazifikii profit ya Safaricom
Then jiulizeni kwanini watu walimuwinda huyu dada
Hivi hamjifunzi kitu jinsi Azam Tv ilivyohama na kijiji cha Multichoice na BBC Swahili
Hivi hamjifunzi kitu Serengeti ilivyoiendesha SABC mpaka kukawa hakuna tena Competetion Strategy isipokuwa kuinunua na hiyo ni kutokana talent brains walizo hire kutoka India
 
Now Trending
Their company is (famously) nick named as
Kenya’s Most Corrupt Company Safaricom because of its traits. Actually we are worrying to import such behavior to our mighty telecom company VodaCom.

Sylvia Mulinge Speaks

Safaricom Sends Lobbyists To Tanzania To Help Sylvia Mulinge Get Work Permit.

Kenya's Most Corrupt Company Safaricom's Sylvia Mulinge Denied Vodacom Tanzania Work Permit

Fate Of Kenya's Most Corrupt Company Safaricom's Sylvia Mulinge Sealed
Naona wivu sasa umeulekeza kwa Safaricom.
 
Back
Top Bottom