Naskia huyo jamaa wa Misri amekamatwa na polisi!! So now your statement does not hold.muachiwe tu mhujumu kama kawaida yenu........hakuna historia ya Mmisri kuhujumu Tz.....ila Kenya........fitna tu
Sio Wakenya na hatujawahi kuzuia mtu kwa kigezo kwamba kuna Wakenya wenye uwezo huo, ni ujuha mzuie kwa kigezo cha kulinda ajira za ndani halafu hapo hapo bado apewe Mwarabu, hehehe nyie kituko.
Voda wateua kaimu mkurungezi mwengine ila mgeni pia, hehehe Watanganyika weusi watasubri sana.....walimkatalia Mkenya kwa kigezo cha kwamba kuna Watanzania wenye uwezo huo, lakini Vodacom wameng'ang'ania lazima waweke mgeni hapo, kuipa kampuni Mtanzania itakua kama kuisulubisha.
Wacha ujinga. Tuambie safaricom imekuwa kwa nani?
Sisi hatujawahi kuwa na ujinga kama wenu huo wa kukataa mgeni kutokea nchi jirani kwa kigezo kuna wazawa wenye uwezo zaidi yake halafu tunaishia kuajiri wageni wa kutoka mbali wanaoishia kutuhujumu.
That woman was a criminal who would be in jail for driving drunk. Case closed.
Peleka pombe na umama uko gatundu
Pumba tu, maisha ya mtu hayakuhusu, anakunywa nini, ana michepuko wangapi wala nini, kwa taarifa yako mama aliteuliwa kwenye wadhifa muhimu Safaricom na faida imepitiliza hakuna kampuni ukanda huu iliyofikisha faida ya Safaricom, bora hivyo amebaki nyumbani badala ya kwenda kuajiriwa kwenye some shithole halafu abambikiziwe kesi na kunyea debe https://www.businessdailyafrica.com...o-Sh31-5bn/4003102-4833318-w9f0s4z/index.html
The key positions in safaricom are held by Britain. Same case for Airtel and Telkom which are owned by Indians.
Why don't you fight for your own independence instead of taking your neocolonialism to other countries.