Vodacom wabandua mabango yenye picha za Diamond

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni award mkuu wangu, Sina uwezo wa kudiscuss na wewe. Acha kuniongelea shit siko katika mood hiyo mimi, kwaheri tena.
Poa bana,don't mind mkuu wangu
 
Duuh kweli nyie mambulula...hamjui voda ni kampuni kubwa na ina campaigns/promotions mbalimbali?...Sasa hivi dabo bando ndo habari ya mjini kwahiyo wanaipromote acheni ujinga wa lara 1 sijui nani. ..jiongezeni
chukua like yangu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni award mkuu wangu, Sina uwezo wa kudiscuss na wewe. Acha kuniongelea shit siko katika mood hiyo mimi, kwaheri tena.
Wewe unachekeshwa, namie najikuta unanichekesha.....
 
Lara1 atakuwa alijua mkataba wa mabango ya Voda kwa Dia yataisha siku flan ndio kajifanya yy mtetezi
 
Dogo ameanza kuchuja,tunaelekea mwezi wa tano huu katika mwaka mpya,hakuna cha tuzo wala mama yake na tuzo.Na bado
Duu we jamaa ni kituko kabisa ...eti tunzo za Grammy! Nimecheka sana comments zako...
Kifupi namchukia toka amkashifu lowassa na chadema.Period.Hayo ya wengine mi sitaki kujua

Haina shida tuwe na subira.nyota njema huonekana asubuhi,ametoa nyimbo kibao mara na kc mara Raymond mara nani.lakini wapi!Madawa ya Nigeria yameanza kuchuja

Kwani duniani na afrika hakuna tuzo yoyote iliyotolewa?Au mpaka Kilimanjaro awards ndo wewe uone tuzo?Acha uzuzu...haya mfano zilitolewa tuzo za grammy na adele akapata tuzo tano... hujui hata grammy awards ni kitu gani.Napoteza muda tu hapa
 
Naona haters wanajaribu kuchota maji kwa kutumia chujio, mbaya zaidi inavyoonekana hawana hata elimu ya masoko kipengele cha matangazo, wacheni niwape desa advertising(kutangaza) ina malengo matatu makuu la kwanza kufanya umma utambue uwepo wa huduma, lengo la pili kushawishi watu kununua Huduma na la mwisho kuhakikisha watu wanaikumbuka huduma, hivi vyote vishakamilika kwenye hayo mabango, so malengo yashafikika ni mwendo wa kusonga Mbele kwa mikakati mingine, kitu kingine kuna break even point ambapo biashara inabidi ifanye kazi pale ambapo faida izidi matumizi ama ilingane na matumizi, gharama za kutangaza hayo mabango huenda ikawa inataka kukiuka kanuni za break even point maana voda washatumia biioni na kitu kumshawishi mnyama huyu mnaemkeshea kwenye keyboard zenu asaini mkataba,
 
Haha lara ni mpumbavu....

Kwahiyo anataka kusema vodacom wamemskiliza hahaha...

Yaani voda waache kufanya campaign zao zingine kuendana na ratiba zao.. useme ni influence yako..

Ningekuelewa sana kama ungeenda mahakamani kumshitaki kwa udhalilishaji.. si una evidence ya vile viblog uchwara uone utakavyotimuliwa. mbona hauendi.. we si mtetezi ..
 
Ahsante kwa ufafanuzi mzuri, jamaa atajikuta anajua kumbe tabularasa lol
 
Hujui kitu
Voda wanalipa kampuni za mabango kama outdoor kuweka matangazo sehemu fulani kwa muda fulani
Ni kama kodi ya nyumba tu,inawezekana kabisa kodi ya tangazo la voda kwa kampuni hiyo ya mabango kwenye sehemu hiyo imekwisha
Na kila eneo lina kiwango chake cha kodi ndio maana huwezi kukuta bango tandale
 
Diamond naana yake ni almas sidhani kama tope linaweza kuifanya almas kuwa udongo
 
Huyo Lala 1 kwanini asishughuliswe na matukio ya vikongwe kucharangwa mapanga kule Geita na huko Rorya ningemuona kweli anaguswa kama anavyojinasibu eti mwanasheria dhidi ya dhulma wanazotendewa wanawake, badala yake anashughulishwa na vitu vya ajabu, nakushauri Lala 1 fanya kazi zako kiuweledi kulingana na taaluma yako, kwenye mabandiko yako naona unaweka kitu UVCCM 2017 ,kama ulivyokusanya data za mondi vivyo hivyo watu wanakusanya data zako na huenda wakatumia kukumaliza wakati wa huo mchakato wa UVCCM 2017 ni ushauri tu .
 
Wamemtoa kila mahali
Wametoa billboards tuu lakini project bado ipo...ikiwa project imesha fanikiwa hakuna sababu ya kuendelea kupoteza pesa nyingi kwenye mabango wakati kuna nafasi ya kuingiza project nyingine na ndicho walicho fanya Voda..wana project nyingi tuu hazina mabango kwa sasa na bado zinaendelea....Na hii Dabo baada ya muda waitoa kwenye mabango lakini itakuwepo....

Kwanza ingekuwa kweli wamesitisha mkataba hakika Diamond angetajirika kabisa maana kama ni kweli yanayo semwa ni udhalilisha lazima tukumbuke yametendeka kabla ya kusaini mkataba!

Na kwa hoja ya Rommy kusemekana kubaka hii haiwezi kuwa hoja Diamond hawezi kuhukumiwa kwakile kinacho semekana ni kosa la Rommy!
 
Sasa ngumbaru kama diamond atajua lini English,collabo zote wenzake wanaimba kiingereza yeye anaishia Kiswahili.Mambo yake imeishia hapo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…