karibu, Lakini kama Ni Mmoja wa Shabiki Pendwa wa RAISI WA AFRICA in MUSIC, Kipenzi chetu NASIBDah! Nalitamani hili shavu! Yaani hapa full miwivu!
Bus stand ya Moshi bado lipo, nilipita jana nikaliona.Kuna uzi humu lara 1 anaelezea jinsi makampuni yalivyopotoka kumtumia Diamond kwa matangazo yake kama humaniser.
Uzi wenyewe ni huu: Pale makampuni ya Bongo yanapokurupuka kumuendorse Diamond, well-known women abuser! Shame on u Vodacom
Leo bango la pale Ubungo kona ya kwenda chuo kikuu UDSM wametoa picha ya Diamond na kumuweka dada fulani, pia eneo la Sayansi wametoa picha zake.
Hizo ni sehemu mbili nilizoona kwa leo, nadhani ndani ya wiki huyu jamaa hatakuwa hana bango hata moja.
Sasa sijui ni coincidence au dua la kuku limempata mwewe!
Wewe umefaidika na nini!!!
Mliona diamond kafaidi sana sio!!!
UMENIACHA HOI, KIONGOZI....we sio muha yule ni mkongo man we huoni anavyonengua,hawa wakija mjini wanajifanya kwao kigoma lakini ukitrace wana unasaba na ndanda kosovo,
Utakufa kwa wivu manake hata huyo aliyeleta mada amekimbia baada ya kugundua kumbe upuuzi aliokuwa ameuleta hapa ni uongo mtupu... Kwahiyo, endelea na mgomo wako dhidi ya Vodacom bila kusahau Coca-Cola na vinywaji vyake vyote!
Pole basi manake usiyempenda ndo huyo tena... pamoja na kupigwa majungu kila cku ndo kwanza anazidi kunyookewa!
But REMEMBER, wakati wewe unamuona Mwehu, business executives wanamuona a man who means business!!
c.c Vodacom
Coca-Cola
Multichoice
Red Gold!!
Kwani vipi unajua mkataba wa tangazo ulikua ni muda gani…!?Kuna uzi humu lara 1 anaelezea jinsi makampuni yalivyopotoka kumtumia Diamond kwa matangazo yake kama humaniser.
Uzi wenyewe ni huu: Pale makampuni ya Bongo yanapokurupuka kumuendorse Diamond, well-known women abuser! Shame on u Vodacom
Leo bango la pale Ubungo kona ya kwenda chuo kikuu UDSM wametoa picha ya Diamond na kumuweka dada fulani, pia eneo la Sayansi wametoa picha zake.
Hizo ni sehemu mbili nilizoona kwa leo, nadhani ndani ya wiki huyu jamaa hatakuwa hana bango hata moja.
Sasa sijui ni coincidence au dua la kuku limempata mwewe!
Iyo hodi waja kupiga wapi?????Oh God!! This's so beautiful... wallah tena! Naja kupiga hodi muda c mrefu manake sie wengine huwa hatutaniwi!
Ndo kwanza anafanya maajabu huyo Diamond Platnumz.Sasa ngumbaru kama diamond atajua lini English,collabo zote wenzake wanaimba kiingereza yeye anaishia Kiswahili.Mambo yake imeishia hapo...
Naona wamekuelewaaWamebadili tangazo, hivi sasa wanatangaza bando za dabo