Vodacom wabandua mabango yenye picha za Diamond

Vodacom wabandua mabango yenye picha za Diamond

Najisikia Furaha Sana Ninapoona Kuna Watu Wako Pale Kumpigania Mtu, Ni Jinsi Gani Ulivyo Muhimu Kwenye Maisha Yao, Tupo Nyuma Yake DAIMOND , Najua Kuna watu Awapendi Kabisa Kumuona Pale Alipo, Ila Awajui Kuwa Ndo Wanazidi Kumpandisha!!!!!!!!!
 
Kuna uzi humu lara 1 anaelezea jinsi makampuni yalivyopotoka kumtumia Diamond kwa matangazo yake kama humaniser.

Uzi wenyewe ni huu: Pale makampuni ya Bongo yanapokurupuka kumuendorse Diamond, well-known women abuser! Shame on u Vodacom

Leo bango la pale Ubungo kona ya kwenda chuo kikuu UDSM wametoa picha ya Diamond na kumuweka dada fulani, pia eneo la Sayansi wametoa picha zake.

Hizo ni sehemu mbili nilizoona kwa leo, nadhani ndani ya wiki huyu jamaa hatakuwa hana bango hata moja.

Sasa sijui ni coincidence au dua la kuku limempata mwewe!
Bus stand ya Moshi bado lipo, nilipita jana nikaliona.
 
Mbona jana nimemuona huyu raia akikatikiwa miuno na wafanyakazi wa voda? kama wamemtumbua ilikuwaje wamualike tena siku ya wafanyakazi
 
we sio muha yule ni mkongo man we huoni anavyonengua,hawa wakija mjini wanajifanya kwao kigoma lakini ukitrace wana unasaba na ndanda kosovo,
UMENIACHA HOI, KIONGOZI....
 
Hao wanawake diamond huwa anawabaka?huwa anawalazimisha?mbona hawakatai?ukianza nae mahusiano wanakua na mkataba gani?wanawake tunapenda kupiga kelele ilituonewe huruma mwingine ni uchizi wetu wenyewe
 
Utakufa kwa wivu manake hata huyo aliyeleta mada amekimbia baada ya kugundua kumbe upuuzi aliokuwa ameuleta hapa ni uongo mtupu... Kwahiyo, endelea na mgomo wako dhidi ya Vodacom bila kusahau Coca-Cola na vinywaji vyake vyote!

Sina wivu ila simpendi namuona kama mwehu tu
 
Pole basi manake usiyempenda ndo huyo tena... pamoja na kupigwa majungu kila cku ndo kwanza anazidi kunyookewa!

But REMEMBER, wakati wewe unamuona Mwehu, business executives wanamuona a man who means business!!

c.c Vodacom
Coca-Cola
Multichoice
Red Gold!!

Duh aisee mpe na wewe biashara
 
Kuna uzi humu lara 1 anaelezea jinsi makampuni yalivyopotoka kumtumia Diamond kwa matangazo yake kama humaniser.

Uzi wenyewe ni huu: Pale makampuni ya Bongo yanapokurupuka kumuendorse Diamond, well-known women abuser! Shame on u Vodacom

Leo bango la pale Ubungo kona ya kwenda chuo kikuu UDSM wametoa picha ya Diamond na kumuweka dada fulani, pia eneo la Sayansi wametoa picha zake.

Hizo ni sehemu mbili nilizoona kwa leo, nadhani ndani ya wiki huyu jamaa hatakuwa hana bango hata moja.

Sasa sijui ni coincidence au dua la kuku limempata mwewe!
Kwani vipi unajua mkataba wa tangazo ulikua ni muda gani…!?
 
walioweka matangazo hayo kwenye vibanda vyao vya biashara , kwenye mabasi nk. nao wameagizwa wayabandue? kazi kweli kweli.
 
Mikoaniii mabangoo hayo hayoo yamejaaa. Ni mkataba tu..poleni wapika Sumu hamuweziiiii kumfikiaaaas hata Mkirogaaaaaaaaa
 
Pale mleta maada anapokuwa mbumbumbu ila yee akijihisi mjuaji

Nilidhani utaleta maada Diamond kavuliwa ubalozi baada ya jitihada zako kuzaa matunda ... au

Diamond kashtakiwa na hao unaohisi wameonewa, ila hawawezi kuongea na wew waweza zaidi kupaza saut kwa niaba ya yao
Binafsi sidhani kama Vodacom, dstv,Coca-Cola na red gold tomatoes wote walikurupuka kumpa ubalozi na si hao wengine unaowataka wewe
 
Back
Top Bottom