Hata haujajibu swali langu mpendwa haya kwaheri usijisikie vibaya
Elimu zetu zinaingiaje hapa nyie vepe, discussion ni diamond, voda na mbako wa rommy.....Evelyn salt hata kama kasoma hamfikii lara1 kwa uwezo wa kuchanganua mambo
Kuna uzi humu lara 1 anaelezea jinsi makampuni yalivyopotoka kumtumia Diamond kwa matangazo yake kama humaniser
leo bango la pale ubungo kona ya kwenda chuo kikuu udsm wametoa picha ya diamond na kumuweka dada fulani,pia eneo la sayansi wametoa picha zake hizo ni sehemu mbili nilizoona kwa leo nadhani ndani ya wiki huyu jamaa hatakuwa hana bango hata moja
sasa sijui ni coincidence au dua la kuku limempata mwewe
Well, mie nilivowasoma diamond hastahili kuwa balozi kwa sababu ni mdhalilishaji, ndo nlitaka kujua tu akinyang'anywa huo ubalozi hamtaendelea na harakati? Au aluta continua tehSiwezii kujisikia vibaya, kutofautiana au kukosolewa ni kawaida. Nimejibu huenda sijajibu unavyotaka wewe, nimesema post yangu kuhusu wanawake haihusiani na dili LA Voda, angekua nalo au asiwe balozi bado ningeandika nilichokiandika.
Hapa nimedownload songi LA sikamatiki..nimesikiliza usiku kucha nikiwa inaendelea na shughuli zangu. Hivyo sina tatizo lolote na Dangote, ila jambo likiongelewa Niko Hutu kuchangia kwa mtazamo wangu.
Well, mie nilivowasoma diamond hastahili kuwa balozi kwa sababu ni mdhalilishaji, ndo nlitaka kujua tu akinyang'anywa huo ubalozi hamtaendelea na harakati? Au aluta continua teh
Nimekusamehe 😀ahahaha am sorry huyo jamaa ndio kaleta mambo ya elimu hapa ,sorry mpenzi
Kumbe ndio maana life expectancy yetu Tanzainia ni miaka 40,watu mumejaza chuki,wivu na unafiki mioyoni mwenu lazma mfe haraka.Skuizi silaha mnayotumia worldwide ni hyo ya ;"Aleegations".watu waanzisha matuhuma yasiyo hata na ushahidi then wanatumia media kumchafua mtu.mfano kesi ya bill cosby,hivi inaingia akilini kweli ubakwe mwaka 80 uje uibuke na tuhuma mwaka 2015?.ingekuwa africa kweli tungesema sheria hazimlindi mwanamke haya marekani je.Mi nawachukia sana hawa feminist dizain ya kina lara alafu mara nyingi yanakuwaga ma overwheight,shapeless ugly broads.Narudia tena ukiona mtu hajatendewa haki ama kaonewa andaa legal team,nyoosha moja kwa moja mahakamani.nasibu hajawa powerful kiasi cha kushindwa kushitakiwa ama kufungwaMENDE KAANGUSHA KABATIIIIIIIIIIII WOYOOOOOOOOOOOOOO WOYOOOOOOOOOOOOOOO WOYOOOOOOOOO
.Mi nawachukia sana hawa feminist dizain ya kina lara alafu mara nyingi yanakuwaga ma overwheight,shapeless ugly broads.Narudia tena ukiona mtu hajatendewa haki ama kaonewa andaa legal team,nyoosha moja kwa moja mahakamani.nasibu hajawa powerful kiasi cha kushindwa kushitakiwa ama kufungwa
Tatizo ni pale tuhuma zinapotumika kama silaha ya kumdhalilisha na kumharibia mtuhumiwa hata kama hazijathibitika bado.Ni ukweli usiopingika kuwa wanawake wananyanyasika tena ni dunia nzima lakini ikiwa utanyanyaswa alafu ukajaa kimya ni ujinga wako mwenyewe.hawa wanaharakati wa invest zaidi katika kuwaelimisha wanawake juu ya haki zao na jinsi ya kuzipigania kisheria.Sasa unataka kunambia mtu kama wema alishindwa kupeleka malalamiko polisi?.sasa kama mtu aliamua mwenyewe kukaa kimya ama walishasameheana wewe unakuja kulalamika kwa niaba yake ili iweje?.Huwa inaanzaga kama hivi mpaka aliyenyanyaswa anapogundua kuwa kweli nilinyanyasika!
Mwazo tetesi-tuhuma -mashitaka!
Tatizo ni pale tuhuma zinapotumika kama silaha ya kumdhalilisha na kumharibia mtuhumiwa hata kama hazijathibitika bado.Ni ukweli usiopingika kuwa wanawake wananyanyasika tena ni dunia nzima lakini ikiwa utanyanyaswa alafu ukajaa kimya ni ujinga wako mwenyewe.hawa wanaharakati wa invest zaidi katika kuwaelimisha wanawake juu ya haki zao na jinsi ya kuzipigania kisheria.Sasa unataka kunambia mtu kama wema alishindwa kupeleka malalamiko polisi?.sasa kama mtu aliamua mwenyewe kukaa kimya ama walishasameheana wewe unakuja kulalamika kwa niaba yake ili iweje?.
Kaenda shule huyo, Tena ni Boss!Nimependa nadhani Lara 1 ni msomi, sijui Evelyn salt kama ni msomi. Utaona tu uandishi wa mtu aliyepitia shule utauona tu! Lara nadhani ana shule kwa kiasi fulani, kama hana shule basi ana natural intellect
Nani kakwambia huyo ni mwanaume??lara 1 ni kama advocate ,anaweza kutetea jambazi akaonekana hana hatia na akamkandamiza mwenye haki akaonekana ni mwenye hatia ,ilike it nawe toa point zako kumpinga sio mwanaume mzima unajitetea kwa vimstari viwili
Pumba plus pumba hujui kituOn serious note supposedly ningeenda mbele hamuoni INGEKUWA MAMBO YA AIBU SANAA SANAA KWA GLOBAL BRAND KAMA ILE KUWA NA FUGITIVE MWENYE CHARGES KAMA ZILE TENA RB IKO VALID NA MEDICAL REPORT.
INGEKUWA AIBU YA MWAKA.
CHA KUJIFUNZA NI KUWA ANYBODY CAN MAKE A DIFFERENCE AS LONG AS ASIMAME KWENYE UKWELI NA MAADILI.
BINAFSI NIMEJIFUNZA JAMIIFORUMS IS BEYOND POWERFULL MEDIA.