The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
Hata haujajibu swali langu mpendwa haya kwaheri usijisikie vibaya
Siwezii kujisikia vibaya, kutofautiana au kukosolewa ni kawaida. Nimejibu huenda sijajibu unavyotaka wewe, nimesema post yangu kuhusu wanawake haihusiani na dili LA Voda, angekua nalo au asiwe balozi bado ningeandika nilichokiandika.
Hapa nimedownload songi LA sikamatiki..nimesikiliza usiku kucha nikiwa inaendelea na shughuli zangu. Hivyo sina tatizo lolote na Dangote, ila jambo likiongelewa Niko Hutu kuchangia kwa mtazamo wangu.