Vodacom wabandua mabango yenye picha za Diamond

Vodacom wabandua mabango yenye picha za Diamond

Hata haujajibu swali langu mpendwa haya kwaheri usijisikie vibaya

Siwezii kujisikia vibaya, kutofautiana au kukosolewa ni kawaida. Nimejibu huenda sijajibu unavyotaka wewe, nimesema post yangu kuhusu wanawake haihusiani na dili LA Voda, angekua nalo au asiwe balozi bado ningeandika nilichokiandika.

Hapa nimedownload songi LA sikamatiki..nimesikiliza usiku kucha nikiwa inaendelea na shughuli zangu. Hivyo sina tatizo lolote na Dangote, ila jambo likiongelewa Niko Hutu kuchangia kwa mtazamo wangu.
 
Kuna uzi humu lara 1 anaelezea jinsi makampuni yalivyopotoka kumtumia Diamond kwa matangazo yake kama humaniser
leo bango la pale ubungo kona ya kwenda chuo kikuu udsm wametoa picha ya diamond na kumuweka dada fulani,pia eneo la sayansi wametoa picha zake hizo ni sehemu mbili nilizoona kwa leo nadhani ndani ya wiki huyu jamaa hatakuwa hana bango hata moja
sasa sijui ni coincidence au dua la kuku limempata mwewe
vodacom.jpg
 
Siwezii kujisikia vibaya, kutofautiana au kukosolewa ni kawaida. Nimejibu huenda sijajibu unavyotaka wewe, nimesema post yangu kuhusu wanawake haihusiani na dili LA Voda, angekua nalo au asiwe balozi bado ningeandika nilichokiandika.

Hapa nimedownload songi LA sikamatiki..nimesikiliza usiku kucha nikiwa inaendelea na shughuli zangu. Hivyo sina tatizo lolote na Dangote, ila jambo likiongelewa Niko Hutu kuchangia kwa mtazamo wangu.
Well, mie nilivowasoma diamond hastahili kuwa balozi kwa sababu ni mdhalilishaji, ndo nlitaka kujua tu akinyang'anywa huo ubalozi hamtaendelea na harakati? Au aluta continua teh
 
Well, mie nilivowasoma diamond hastahili kuwa balozi kwa sababu ni mdhalilishaji, ndo nlitaka kujua tu akinyang'anywa huo ubalozi hamtaendelea na harakati? Au aluta continua teh

Mie sio mwanaharakati, na itaniuma sana kijana akipoteza nafasi kama hiyo. Inasema umetuelewa? Akina nani? Mie napost kama Samaritan na nimesema wazi nimechangia hoja iliyoletwa jamvini, au nilitakiwa nisichangie au kutoa maoni yangu? Mie naona bora hizi tuhuma zingefanyiwa uchunguzi ukweli ukafahamika, sasa hivi ni tuhuma tu.
 
Huu ni muda wa wasani kuwa makini sana kwenye maisha yao binafsi...kama wanataka kupata deal kubwa kwenye makampuni makubwa. Rick Ross alifukuzwa na Reebok kwa kurap kuhusu rape tu. Dunia imebadilika sana siku hizi
 
screpa
cha ajab wanaume wanaoaminiwa kuwa wachanganuaji wa mambo kwa kutumia kichwa utakuta wamepangana kwenye vithread vyake kumpigia makofi na kumpampu.....ukiona ile alarm yake ya igweeeeeeeeeee .......anza kufatilia user names za wachangiaji chini yake......u wonder
 
Tatizo ni akili fupi, wivu na chuki....

Diamond sio marketing manager wa Vodacom, ni Brand Ambassador in general, ila unapozungumzia specific projects ndio unazama kiundani kwenye mkataba, na upande wa specific projects alihusika kwenye "ongea deilee" japo muda wote anatakiwa kuitangaza vodacom kama mtandao in general..

Vodacom wanaweza kuja na specific projects tofauti hata tano ila Diamond asipromote hata moja akaendelea kuitangaza Vodacom kama Vodacom mfano, angalia pages zake kwenye social networks. Kumbuka hawa watu hawafanyi vitu kwa mihemko, ongea deilee bado inatangazwa Unaweza cheki kwenye website yao hapa https://www.vodacom.co.tz/

Suala la unyanyasaji wanawake hakuna point ya maana. Diamond hajawahi kumpa mimba demu yeyote yule na kumtelekeza, anamjali mamaake kama mboni yake ya jicho, kawa na wema na alikuwa anafahamu ugumba wake lakini hata siku moja hakutangaza kwa media unyanyasaji upi hapo unaozungumziwa? au kuhonga Murano hahaha

Pale msanii unaomshabikia anapokuwa hana jipya town, kinachotokea ndio kama alichofanya mleta mada umbea, wivu, chuki, na kupakuliwa kunaanzaga hivohivo

I'm out..
 
MENDE KAANGUSHA KABATIIIIIIIIIIII WOYOOOOOOOOOOOOOO WOYOOOOOOOOOOOOOOO WOYOOOOOOOOO
Kumbe ndio maana life expectancy yetu Tanzainia ni miaka 40,watu mumejaza chuki,wivu na unafiki mioyoni mwenu lazma mfe haraka.Skuizi silaha mnayotumia worldwide ni hyo ya ;"Aleegations".watu waanzisha matuhuma yasiyo hata na ushahidi then wanatumia media kumchafua mtu.mfano kesi ya bill cosby,hivi inaingia akilini kweli ubakwe mwaka 80 uje uibuke na tuhuma mwaka 2015?.ingekuwa africa kweli tungesema sheria hazimlindi mwanamke haya marekani je.Mi nawachukia sana hawa feminist dizain ya kina lara alafu mara nyingi yanakuwaga ma overwheight,shapeless ugly broads.Narudia tena ukiona mtu hajatendewa haki ama kaonewa andaa legal team,nyoosha moja kwa moja mahakamani.nasibu hajawa powerful kiasi cha kushindwa kushitakiwa ama kufungwa
 
.Mi nawachukia sana hawa feminist dizain ya kina lara alafu mara nyingi yanakuwaga ma overwheight,shapeless ugly broads.Narudia tena ukiona mtu hajatendewa haki ama kaonewa andaa legal team,nyoosha moja kwa moja mahakamani.nasibu hajawa powerful kiasi cha kushindwa kushitakiwa ama kufungwa

Huwa inaanzaga kama hivi mpaka aliyenyanyaswa anapogundua kuwa kweli nilinyanyasika!
Mwazo tetesi-tuhuma -mashitaka!
 
Huwa inaanzaga kama hivi mpaka aliyenyanyaswa anapogundua kuwa kweli nilinyanyasika!
Mwazo tetesi-tuhuma -mashitaka!
Tatizo ni pale tuhuma zinapotumika kama silaha ya kumdhalilisha na kumharibia mtuhumiwa hata kama hazijathibitika bado.Ni ukweli usiopingika kuwa wanawake wananyanyasika tena ni dunia nzima lakini ikiwa utanyanyaswa alafu ukajaa kimya ni ujinga wako mwenyewe.hawa wanaharakati wa invest zaidi katika kuwaelimisha wanawake juu ya haki zao na jinsi ya kuzipigania kisheria.Sasa unataka kunambia mtu kama wema alishindwa kupeleka malalamiko polisi?.sasa kama mtu aliamua mwenyewe kukaa kimya ama walishasameheana wewe unakuja kulalamika kwa niaba yake ili iweje?.
 
Nadhani unaelewa tatizo la msingi ila upenzi wako kwa Diamond ndiyo tatizo! Hapo kwenye nyekundu ndiyo hoja ya mleta hoja!
Umemfanyia kitu kibaya alafu na ukasamehewa hii jeuri na ufedhuli wa kuja kwenye majukwaa ya Media na kujitamba na kibaya ulichomfanyia mwenzio inatoka wapi?
Huu mimi nauita ulevi wa Pesa ,sifa,Pombe,au uwendawazimu!

cc lara 1
 
kwani kabla ya kuwa na mabango yenye picha za diamond zaman hawakuwa na mabango yoyote na je mlitaka hata mkataba ukiisha kati yao na diamond bado waache mabango yake had siku anakufa?
 
Nimependa nadhani Lara 1 ni msomi, sijui Evelyn salt kama ni msomi. Utaona tu uandishi wa mtu aliyepitia shule utauona tu! Lara nadhani ana shule kwa kiasi fulani, kama hana shule basi ana natural intellect
Kaenda shule huyo, Tena ni Boss!
 
lara 1 ni kama advocate ,anaweza kutetea jambazi akaonekana hana hatia na akamkandamiza mwenye haki akaonekana ni mwenye hatia ,ilike it nawe toa point zako kumpinga sio mwanaume mzima unajitetea kwa vimstari viwili
Nani kakwambia huyo ni mwanaume??
 
On serious note supposedly ningeenda mbele hamuoni INGEKUWA MAMBO YA AIBU SANAA SANAA KWA GLOBAL BRAND KAMA ILE KUWA NA FUGITIVE MWENYE CHARGES KAMA ZILE TENA RB IKO VALID NA MEDICAL REPORT.

INGEKUWA AIBU YA MWAKA.

CHA KUJIFUNZA NI KUWA ANYBODY CAN MAKE A DIFFERENCE AS LONG AS ASIMAME KWENYE UKWELI NA MAADILI.

BINAFSI NIMEJIFUNZA JAMIIFORUMS IS BEYOND POWERFULL MEDIA.
Pumba plus pumba hujui kitu
 
Back
Top Bottom