Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Ha ha ha we naewatafika huko sijui kitope sijui matope wanakuja watayatoa tu maana hakuna namna
kaanza na ya dar. Kesho atatoa tamko voda watoe na mabango ya hukoMbona huku mwanza yapo kila kona naona na jembe fm wanazidi kumpamba kila kona ya mwanza jifarijini na malaya mange a.k.a lara1
Kifupi namchukia toka amkashifu lowassa na chadema.Period.Hayo ya wengine mi sitaki kujuaHahhah eti namchukia tangu aitukane chadema. Pathetic! Kuna wengi tu waliitukana chadema na wengine waliitukana CCM where is your hate basing at! Kawadanganye watoto.
Ishhhh sasa apewe tuzo kwani kuna tuzo gani zimefanyika amekosa? Tour aliyopiga hivi karibuni ni ya kitoto? My dear hilo ni dua la kuku tu.... Mungu wake kishasema YES!!!Dogo ameanza kuchuja,tunaelekea mwezi wa tano huu katika mwaka mpya,hakuna cha tuzo wala mama yake na tuzo.Na bado
Mmasai kaingia disco na sime!!Dogo ameanza kuchuja,tunaelekea mwezi wa tano huu katika mwaka mpya,hakuna cha tuzo wala mama yake na tuzo.Na bado
Haina shida tuwe na subira.nyota njema huonekana asubuhi,ametoa nyimbo kibao mara na kc mara Raymond mara nani.lakini wapi!Madawa ya Nigeria yameanza kuchujaIshhhh sasa apewe tuzo kwani kuna tuzo gani zimefanyika amekosa? Tour aliyopiga hivi karibuni ni ya kitoto? My dear hilo ni dua la kuku tu.... Mungu wake kishasema YES!!!
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha daaadeki bado mdogo bana kuwa mchawi, ukizeeka si itakua ishu....Haina shida tuwe na subira.nyota njema huonekana asubuhi,ametoa nyimbo kibao mara na kc mara Raymond mara nani.lakini wapi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tuzo gani zimetolewa ndugu.Dogo ameanza kuchuja,tunaelekea mwezi wa tano huu katika mwaka mpya,hakuna cha tuzo wala mama yake na tuzo.Na bado
Ha ha ha hizi labda za mtaani kwao lol[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tuzo gani zimetolewa ndugu.
Kwani duniani na afrika hakuna tuzo yoyote iliyotolewa?Au mpaka Kilimanjaro awards ndo wewe uone tuzo?Acha uzuzu...haya mfano zilitolewa tuzo za grammy na adele akapata tuzo tano... hujui hata grammy awards ni kitu gani.Napoteza muda tu hapa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tuzo gani zimetolewa ndugu.
Jesus take the wheel! Eti unasemaje? Sorry siwezi endelea discussion na wewe, asante Kwa kunichekesha. Am out!Kwani duniani na afrika hakuna tuzo yoyote iliyotolewa?Au mpaka Kilimanjaro awards ndo wewe uone tuzo?Acha uzuzu...haya mfano zilitolewa tuzo za grammy na adele akapata tuzo tano... hujui hata grammy awards ni kitu gani.Napoteza muda tu hapa
Ha aha ha ha ha!! Kwahiyo Dee kashuka kwasababu hajapata grammy hata moja mwenzake Adele kapata tano!! Ha ha ha ha hah [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwani duniani na afrika hakuna tuzo yoyote iliyotolewa?Au mpaka Kilimanjaro awards ndo wewe uone tuzo?Acha uzuzu...haya mfano zilitolewa tuzo za grammy na adele akapata tuzo tano... hujui hata grammy awards ni kitu gani.Napoteza muda tu hapa
Ha ha ha ha ha!! Ian ferrao yuko anatetemeka mda huu Lara 1 akitoa tamko lingine tu itabidi atoe amri Tanzania nzima mabango yatolewe..kaanza na ya dar. Kesho atatoa tamko voda watoe na mabango ya huko
Alikuwepo kwenye categories ya hizo tuzo au apewe tu kwakua wanamjuaKwani duniani na afrika hakuna tuzo yoyote iliyotolewa?Au mpaka Kilimanjaro awards ndo wewe uone tuzo?Acha uzuzu...haya mfano zilitolewa tuzo za grammy na adele akapata tuzo tano... hujui hata grammy awards ni kitu gani.Napoteza muda tu hapa
Acha kujitekenya na kujichekesha hapa,acha kuzuga .Grammy awards ilishafanyika February 15 mwaka huu,hiyo siyo award?Jesus take the wheel! Eti unasemaje? Sorry siwezi endelea discussion na wewe, asante Kwa kunichekesha. Am out!
mbulula kama wewe huwezi kuibadilisha voda mawazo.. mimi nafanya kazi vodacom tunabadilisha matangazo na hii ilikua imepangwa toka mwanzo wa mwezi huu iwe hivyo..hahahaaaa! JANA SI MLISEMA VODA HAWATOI CHOCHOTE? In 24 hrs THE DEJAY IS HISTORY KWENYE BILLBOARDS ZA VODA. Jana mlikunya sanaaa hapa.
Na hii artwork ya hapo inatoka in no time maana hio banner inaendeshwa na AIM GROUP, na washa safisha artwork koteeee. In no time vijana wa Max watabadili mambo.
MNAKUBALI KIMYA KIMYAAA! NYIE ENDELEENI KUPOST INSTA KWENYE ACCOUNT ZENU ZA KUTUKANA WATU. HAHAHAAAAAAAAA! GLOBAL BRAND BABY!!!!!!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Usitake kujitekenya na kujichekesha hapa,acha kuzuga .Grammy awards ilishafanyika February 15 mwaka huu,hiyo siyo award?