Vodacom wabandua mabango yenye picha za Diamond

Hahhah eti namchukia tangu aitukane chadema. Pathetic! Kuna wengi tu waliitukana chadema na wengine waliitukana CCM where is your hate basing at! Kawadanganye watoto.
Kifupi namchukia toka amkashifu lowassa na chadema.Period.Hayo ya wengine mi sitaki kujua
 
Dogo ameanza kuchuja,tunaelekea mwezi wa tano huu katika mwaka mpya,hakuna cha tuzo wala mama yake na tuzo.Na bado
 
Ishhhh sasa apewe tuzo kwani kuna tuzo gani zimefanyika amekosa? Tour aliyopiga hivi karibuni ni ya kitoto? My dear hilo ni dua la kuku tu.... Mungu wake kishasema YES!!!
 
Haina shida tuwe na subira.nyota njema huonekana asubuhi,ametoa nyimbo kibao mara na kc mara Raymond mara nani.lakini wapi!Madawa ya Nigeria yameanza kuchuja
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tuzo gani zimetolewa ndugu.
Kwani duniani na afrika hakuna tuzo yoyote iliyotolewa?Au mpaka Kilimanjaro awards ndo wewe uone tuzo?Acha uzuzu...haya mfano zilitolewa tuzo za grammy na adele akapata tuzo tano... hujui hata grammy awards ni kitu gani.Napoteza muda tu hapa
 
Jesus take the wheel! Eti unasemaje? Sorry siwezi endelea discussion na wewe, asante Kwa kunichekesha. Am out!
 
Ha aha ha ha ha!! Kwahiyo Dee kashuka kwasababu hajapata grammy hata moja mwenzake Adele kapata tano!! Ha ha ha ha hah [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hivi nani hapo juu ameandika mmasai kaingia disco na sime[emoji23] [emoji23]
 
Kwani duniani na afrika hakuna tuzo yoyote iliyotolewa?Au mpaka Kilimanjaro awards ndo wewe uone tuzo?Acha uzuzu...haya mfano zilitolewa tuzo za grammy na adele akapata tuzo tano... hujui hata grammy awards ni kitu gani.Napoteza muda tu hapa
Alikuwepo kwenye categories ya hizo tuzo au apewe tu kwakua wanamjua
 
Jesus take the wheel! Eti unasemaje? Sorry siwezi endelea discussion na wewe, asante Kwa kunichekesha. Am out!
Acha kujitekenya na kujichekesha hapa,acha kuzuga .Grammy awards ilishafanyika February 15 mwaka huu,hiyo siyo award?
 
hahahaaaa! JANA SI MLISEMA VODA HAWATOI CHOCHOTE? In 24 hrs THE DEJAY IS HISTORY KWENYE BILLBOARDS ZA VODA. Jana mlikunya sanaaa hapa.

Na hii artwork ya hapo inatoka in no time maana hio banner inaendeshwa na AIM GROUP, na washa safisha artwork koteeee. In no time vijana wa Max watabadili mambo.

MNAKUBALI KIMYA KIMYAAA! NYIE ENDELEENI KUPOST INSTA KWENYE ACCOUNT ZENU ZA KUTUKANA WATU. HAHAHAAAAAAAAA! GLOBAL BRAND BABY!!!!!!!!
mbulula kama wewe huwezi kuibadilisha voda mawazo.. mimi nafanya kazi vodacom tunabadilisha matangazo na hii ilikua imepangwa toka mwanzo wa mwezi huu iwe hivyo..
 
Usitake kujitekenya na kujichekesha hapa,acha kuzuga .Grammy awards ilishafanyika February 15 mwaka huu,hiyo siyo award?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni award mkuu wangu, Sina uwezo wa kudiscuss na wewe. Acha kuniongelea shit siko katika mood hiyo mimi, kwaheri tena.
 
Back
Top Bottom