Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya maelfu ya watumiaji kuhama mtandao wao sasa VODACOM wameachia vifurushi baada ya kubana kwa karibia mwezi mzima.
Tutarajie Halotel na Airtel kujibu mapigo kwa kushusha hadi wateja wapate 1GB kwa sh.500.View attachment 1767268
da wameachia nimeona meseji yao safi sana ndungulileBaada ya maelfu ya watumiaji kuhama mtandao wao sasa VODACOM wameachia vifurushi baada ya kubana kwa karibia mwezi mzima.
Tutarajie Halotel na Airtel kujibu mapigo kwa kushusha hadi wateja wapate 1GB kwa sh.500.View attachment 1767268
Kwenye hiyo menu kila mtu anapewa kutokana na matumizi yakeMenu:
*149*03#
Kisha chagua namba 4.