VODACOM wameachia rasmi

VODACOM wameachia rasmi

SN.BARRY

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2012
Posts
4,038
Reaction score
8,929
Baada ya maelfu ya watumiaji kuhama mtandao wao sasa VODACOM wameachia vifurushi baada ya kubana kwa karibia mwezi mzima.

Tutarajie Halotel na Airtel kujibu mapigo kwa kushusha hadi wateja wapate 1GB kwa sh.500.


IMG_20210429_100831_147.JPG
 
Baada ya maelfu ya watumiaji kuhama mtandao wao sasa VODACOM wameachia vifurushi baada ya kubana kwa karibia mwezi mzima.

Tutarajie Halotel na Airtel kujibu mapigo kwa kushusha hadi wateja wapate 1GB kwa sh.500.View attachment 1767268

Acha uongo wewe!! Hii JF imevamiwa na Watoto wa shule!! Ni shida! Unawezaje anzisha uzi wa uongo?? Inakusaidia nn??
Vodacom bado hawajashusha bei za Vifurushi!! Labda mmeshushiwa huko Buza Kwa Mpalange.
 
Back
Top Bottom