VODACOM wameachia rasmi

VODACOM wameachia rasmi

Naona tigo wamenipa unafuu ila airtel hamna kitu
Kwa vifurushi vya internet zantel wako vizur
 
Hiyo ni offa ya university kwa dar tu ..mikoa mingine haihusiki.
Temeke uni ofa mambo yale yale
Screenshot_20210429-131259.jpg
 
Acha uongo wewe!! Hii JF imevamiwa na Watoto wa shule!! Ni shida! Unawezaje anzisha uzi wa uongo?? Inakusaidia nn??
Vodacom bado hawajashusha bei za Vifurushi!! Labda mmeshushiwa huko Buza Kwa Mpalange.
Unamshambulia mwenzio wakt huna evidence wakt mweznio kaweka na evidence, kwangu lipo hvyo tangu majuzi.
 
sure... na nadhani pia muda mtumiaji amekuwa na mtandao unachangia
Wanaangalia matumizi yako. Mfano mimi walivyobdili vifurushi nikapotea kabisa. Walipokuja kubadili tena baada ya kelele za watu kwangu napewa 1.2Gb kwa 1000 siku 3, wakati kuna jamaa yangu ye anapewa 1.2Gb kwa 3000. Kama walizoea wewe unanunua kifurushi cha sh 3000 kila baada ya siku 1 au 2 lazima wakupe kifurushi kidogo kwa bei kubwa na kama ulizoea kununua kifurushi baada ya wiki 3 lazima wakuvute.
 
Acha uongo wewe!! Hii JF imevamiwa na Watoto wa shule!! Ni shida! Unawezaje anzisha uzi wa uongo?? Inakusaidia nn??
Vodacom bado hawajashusha bei za Vifurushi!! Labda mmeshushiwa huko Buza Kwa Mpalange.
Mimi sipati hivyo vya elfu moja GB 500, napata cha elfu 3000 GB 1.2 na dakika +SMS. Nadhani hii ni kwa wateule tu
 
Jamani kwani Kigoma sio Tanzania? Tatizo wanajamiiforums wote wanajifanyaga watu wa Dar, tena Mbezi Beach[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1767279
Wangejuwa kigoma ndiko Mungu huanza kuibariki inchi hii hata wasinge sema, maana ni mangapi yametokea mipakani lakini hatukudhurika, ebora, mara magonjwa mengi si hivyo tu hatari ya kuishi na wakimbizi but steel tupo salama,
 
Du sijatumia voda miaka Sasa, Tokea wanipandishie bei ya ya kwako tu, walikuwa wananiuzia vifurushi buku au buku jero, wakapandisha mpaka kifurushi Cha chini kikawa 10000. Miaka Sasa siungi bando la voda,
 
Kwangu hawajawabadilisha kwahiyo ni mwendo wa kuipigia chapuo Zantel tu.
 
Halotel mpango mzima,shida Watanzania hatuna umoja tungehamasishana tuikatae vodacom
 
Hiyo ni special offer kwa laini mpya...lakini baada ya miezi mitatu laini hiyo itakua haina hiyo offer....
 
Back
Top Bottom