Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni offa ya university kwa dar tu ..mikoa mingine haihusiki.
Kama mimi nimekuta kanda ya ziwa ... IPO hivyohivyo sio Kama anavyonasibu mleta madaKwangu wamenipa ivi.View attachment 1767285
Kwaiyo mkuu wateja wazamani hawana mpango nao washawashika" aiseeAtangoja milele. Voda wanawajali Sana wateja wapya. Hizo ofa zipo toka zamani kwa wateja wapya.
Temeke uni ofa mambo yale yaleHiyo ni offa ya university kwa dar tu ..mikoa mingine haihusiki.
Unamshambulia mwenzio wakt huna evidence wakt mweznio kaweka na evidence, kwangu lipo hvyo tangu majuzi.Acha uongo wewe!! Hii JF imevamiwa na Watoto wa shule!! Ni shida! Unawezaje anzisha uzi wa uongo?? Inakusaidia nn??
Vodacom bado hawajashusha bei za Vifurushi!! Labda mmeshushiwa huko Buza Kwa Mpalange.
Wanaangalia matumizi yako. Mfano mimi walivyobdili vifurushi nikapotea kabisa. Walipokuja kubadili tena baada ya kelele za watu kwangu napewa 1.2Gb kwa 1000 siku 3, wakati kuna jamaa yangu ye anapewa 1.2Gb kwa 3000. Kama walizoea wewe unanunua kifurushi cha sh 3000 kila baada ya siku 1 au 2 lazima wakupe kifurushi kidogo kwa bei kubwa na kama ulizoea kununua kifurushi baada ya wiki 3 lazima wakuvute.sure... na nadhani pia muda mtumiaji amekuwa na mtandao unachangia
Wameshapiga mpunga mrefu sanaBaada ya maelfu ya watumiaji kuhama mtandao wao sasa VODACOM wameachia vifurushi baada ya kubana kwa karibia mwezi mzima.
Tutarajie Halotel na Airtel kujibu mapigo kwa kushusha hadi wateja wapate 1GB kwa sh.500.
View attachment 1767268
Mimi sipati hivyo vya elfu moja GB 500, napata cha elfu 3000 GB 1.2 na dakika +SMS. Nadhani hii ni kwa wateule tuAcha uongo wewe!! Hii JF imevamiwa na Watoto wa shule!! Ni shida! Unawezaje anzisha uzi wa uongo?? Inakusaidia nn??
Vodacom bado hawajashusha bei za Vifurushi!! Labda mmeshushiwa huko Buza Kwa Mpalange.
Wangejuwa kigoma ndiko Mungu huanza kuibariki inchi hii hata wasinge sema, maana ni mangapi yametokea mipakani lakini hatukudhurika, ebora, mara magonjwa mengi si hivyo tu hatari ya kuishi na wakimbizi but steel tupo salama,Jamani kwani Kigoma sio Tanzania? Tatizo wanajamiiforums wote wanajifanyaga watu wa Dar, tena Mbezi Beach[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1767279
Hii ndiyo napata mimiKwenye hiyo menu kila mtu anapewa kutokana na matumizi yake View attachment 1767282
Safi sanaDu sijatumia voda miaka Sasa, Tokea wanipandishie bei ya ya kwako tu, walikuwa wananiuzia vifurushi buku au buku jero, wakapandisha mpaka kifurushi Cha chini kikawa 10000. Miaka Sasa siungi bando la voda,
Kwaiyo mkuu wateja wazamani hawana mpango nao washawashika" aisee