Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 762
- 1,597
Voda tuambieni kwa nn mtandao wenu unasuasua siku hizi au mmezidiwa na wateja Huku kwetu Mbeya. Huu sio uungwana...... Boresheni huduma kwa wateja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubabaishaji tuKuna muda ilitoka sababu ya kwamba kusuasua mtandao kulitokana na kukatika kwa nyaya (fibers) zilizoko baharini. Kwasasa sijui watakuja na sababu ipi!
Ni shidaNikajua n huku kwetu pekee, mabonde kuinama
MuraNi shida
Hata huku Kinyerezi. Sijui tuhamie mtandao gani sasa?!Voda tuambieni kwa nn mtandao wenu unasuasua siku hizi au mmezidiwa na wateja Huku kwetu Mbeya. Huu sio uungwana...... Boresheni huduma kwa wateja.
Leo mshtuko ulikuwa mkubwa sana, hapo angeenda kwa fundi ilibidi aache hata Tsh.5,000.😅😅😅😅😅 kuna jirani kaja hapa anataka nimtengenezee
kumbe mtandao upo slow 😁😁😁
Kwanini una Single line Mkuu?Sisi wa single line kazi tunayo leo
Sio kwenu tu hadi kwetuVoda tuambieni kwa nn mtandao wenu unasuasua siku hizi au mmezidiwa na wateja Huku kwetu Mbeya. Huu sio uungwana...... Boresheni huduma kwa wateja.
Nimekutumia namba ya tigo, naomba unilipe hela yangu tafadhali!Kuna mtu ananidahi na nimempigia mara kadhaa tukutane nimpatie pesa yake lakini namba yake haikuwa ikiunganisha (not connected!) ila najua kwa wabongo basi ataniona mimi kama mhuni mhuni 😅😅😅 Vodacom inabidi msimamie kesi yangu kama mashahidi