Cecil J
JF-Expert Member
- Oct 12, 2023
- 434
- 1,024
Tigo nayo haifanyi kazi, hapa tutalipana tukikutana!Nimekutumia namba ya tigo, naomba unilipe hela yangu tafadhali!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tigo nayo haifanyi kazi, hapa tutalipana tukikutana!Nimekutumia namba ya tigo, naomba unilipe hela yangu tafadhali!
Umedhamiria kunidhurumu!Tigo nayo haifanyi kazi, hapa tutalipana tukikutana!
Hela yenyewe ndogo bosi, nikituma kwa Tigo Pesa utadahi na ya kutolea ili ufidie deni lako. Uchumi haupo vizuri tukutane tu ili nikupatie pesaUmedhamiria kunidhurumu!
mimi nimeshachomokea kwenye back up line yangu chap.Voda hawaeleweki kabisa.halafu wako kimya hawasemi kitu.Voda ni moja ya mtandao niliokuwa nauamini sana,ila naona huko tunakoelekea ni kubaya.maana kila siku network yao inashukaKwan ni voda pekee au na tigo mtandao pendwa wa kipolisi ?
Simu ina uwezo wa single line na eSIM.Kwanini una Single line Mkuu?
Vodacom, Tigo na Airtel wana Esim bado una Option ya kuwa na More than one sim cards kwasababu Mazingira yetu sio favourable kiivo kuwa na Chip moja tu wezesha izo zingine kwa EsimSimu ina uwezo wa single line na eSIM
Simu ina uwezo wa single line na eSIM.
Tayari nimewezesha eSIMVodacom, Tigo na Airtel wana Esim bado una Option ya kuwa na More than one sim cards kwasababu Mazingira yetu sio favourable kiivo kuwa na Chip moja tu wezesha izo zingine kwa Esim
Mitano tena kwa Vodacom TanzaniaVoda tuambieni kwa nn mtandao wenu unasuasua siku hizi au mmezidiwa na wateja Huku kwetu Mbeya. Huu sio uungwana...... Boresheni huduma kwa wateja.