Vodacom wamesitisha huduma ya kuhamisha bando kwenda namba nyingine bila taarifa

Ultimate

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2016
Posts
739
Reaction score
1,888
hapo kabla kulikua na huduma ya kuhamisha bando (MB 250) kutoka namba moja kwenda namba nyingine sasa ivi naona hii huduma wamesha itoa bila hata ya taarifa.

Pia hii ilikua ni amri kutoka TCRA kwamba ma kampuni ya simu yaruhusu luamisha bando naona vodacom wameamia kukaidi na kuondoa hii huduma.

Nimeangalia kwenye menu niliokua mimeizoea hakuna tena hii huduma??
 
Hii mpya kwangu.
 
Wakati wanaanzisha walikupa taarifa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…