Nini faida ya 5G network kwangu Mimi mshamba ambaye niko JamiiForums, twitter na facebook na Whatsapp pamoja na e mail tu?Kampuni ya simu ya Vodacom wamefanya kweli, leo wametambulisha teknolojia ya 5G nchini na kuwa kampuni pekee mpaka sasa nchini yenye 5G...
Mkuu hii kubwa kuliko, hivi 7G tayari ipo huko duniani au bado ipo kwenye ukarabati?Kuna 6G tayari wao bado hata 5G bado?
Umeona mbalivile vilio vya "mnatuibia MBs" zitashamiri mara dufu
Mkuu, kila product huwa ina wateja wake. Mathalan wale wanaostream wanahitaji internet yenye speed kubwa na low latency.. Ukiwauliza msaada wa 5G watakwambia.Nini faida ya 5G network kwangu Mimi mshamba ambaye niko JamiiForums, twitter na facebook na Whatsapp pamoja na e mail tu?