Mpigadili Tz
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 1,093
- 2,046
Kifurushi cha Mwezi unajiunga kila wiki, kifurushi cha wiki unajiunga kila siku, kifurushi cha siku unajiunga kila baada ya masaa kadhaa.
Hiyo ni 4G sasa 5G je? #nawaza
Hiyo ni 4G sasa 5G je? #nawaza