Vodacom waonesha ukinara wao, waleta 5G nchini

Vodacom kila kitu huwa wanakuwa wa kwanza.
Huduma za PESA kwa maana ya MPESA walikuwa wa kwanza

Kuunga vifurushi badala ya kutumia vocha walikuwa wa kwanza, yaani zamani ilikuwa unaweka vocha na kutwanga tu.

4G walikuwa wa kwanza

Kuna huduma ya email wao ndio walikuwa wa kwanza ingawa ilikufa. Yaani namba yako ilikuwa ndio utambulisho wako mfano 0763000000@vodamail.co.tz

THEGRID
Lakini pia voda ndio mtandao wa kwanza kukomba salio lililobaki kwenye simu

Usisahau voda ndio mtandao wa kwanza kukuunganisha na huduma ambazo hujaomba.
 
Umetumwa! wameharakisha kuzindua haraka haraka kama strategy ya mambo yanayoendelea kuhusu Tozo, typical corporate culture - hawajali wateja! Tozo Tozo Tozo, na vifurushi visivyo na uhalisia wa maisha ya watanzania!
Kampuni ya simu ya Vodacom wamefanya kweli, leo wametambulisha teknolojia ya 5G nchini na kuwa kampuni pekee mpaka sasa nchini yenye 5G...
 
Umetumwa! wameharakisha kuzindua haraka haraka kama strategy ya mambo yanayoendelea kuhusu Tozo, typical corporate culture - hawajali wateja! Tozo Tozo Tozo, na vifurushi visivyo na uhalisia wa maisha ya watanzania!
Mindset ya kila mtu kudhani ametumwa sio nzuri.. Kama ambavyo mimi niwaze umetumwa kuja kwenda kinyume..
 
Unafurahia kuzinduliwa kwa kasi ya 5G unakwenda kulia na ongezeko la gharama za bando zinazonyonywa na kasi ya 5G. Watanzania bado mpo usingizini mkija kuamka mshaibiwa vya kutosha.
 
Subirini vilio sasa

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…