Vodacom wazindua Router za 5G, bei pasua kichwa

Hiyo 850K ni hicho kikopo chenye logo ya Voda au ndani yake kuna kitu kikubwa chenye thamani ya kulingana na hiyo pesa?
Kina sehemu ya kufungua kwa juu halafu ukifungua kuna kipochi, humo ndani ya kipochi kuna 750k, hiyo wanakurudishia kama chenji
 
Ulishasubmit details zako ufanyiwe survey maan survey za 5G dar znadepend na location so Kila shm watakuja
 
Labda unisaidie na waliokufanikishia zoezi zima maana mimi nimeongea nao, then mtu akanipigia, nikamtumia eneo ninapoishi sasa ni wiki ya 3 hamna ripoti na nikimtafuta ni majibu yasiyo eleweka.
Upo eneo Gani mkuu
 
Supakasi za 5G unapata ad nyumbani bla stress
 
VODACOM INTERNET (5G) SUPAKASI

Home and office internet service

PRICE PER MONTH

[emoji117]30Mbps-[120,000]-Unilimited bundle speed ya 5G
[emoji117]50mbps>[150,000]Unilimited bundle speed ya 5G
[emoji117]100Mbps>[250,000]unlimited bundle speed ya 5G
[emoji117]200Mbps>[400,000]Unlimited bundle speed ya 5G
[emoji117]350Mbps[600,000]Unlimited bundle speed ya 5G

For more information kindly check me DM or call 0744355811

It's 5G FWA (fixed wireless access) sahau LTE TDD ( antenna
 
Hapa uko sahihi kabisaa, ni suala la muda tu.
 
Ulishasubmit details zako ufanyiwe survey maan survey za 5G dar znadepend na location so Kila shm watakuja
Ndiyo nilituma location yangu mwanzoni mwa Novemba lakini hadi leo sijapokea majibu ya survey zaidi ya subiri watakuja.
 
Early harvest.
Wakija wengine zitakuwa kama hizi za 4G
 
Competition ikiongezeka bei itakuwa fresh tu hi ni habari njema kwetu
 
Hawa starlink si waingie sokoni, tupate ushindani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…