Vodacom yaamriwa kumlipa fidia ya Mabilioni aliyebuni huduma ya "Tafadhali Nipigie"

Safi sana, hii iende kwa kwa makampuni yanayopenda kutembelea kwenye migongo ya wengine..
 
Wakina means FA walishalipwa pesa zao na tigopesa?
 
Wazo! Wazo! Wazo!

Kabla ya kuanzisha jambo, kuna wazo.
 
Swala la kupangiwa kifurushi muda wa kuisha nahitaji kibatala mmoja tupige hela. Mfano umenunua chipsi alafu unaambiwa ukishindwa kuyamaliza ndani ya nusu saa tunazchkua
Kwahyo chips unaweza ukanunua leo ukazila mwakani?
 
HIi ya mpesa itakuwa ina walakini. Mpesa ni child brain ya Safaricom... Yani ni among African invention kwa hiyo mitandao yote iliyobaki iliiga kutoka kwa safaricom. Sidhani kama kuna mtanzania anaweza kujisifu kuwa alipeleka wazo la mpesa vodacom. Popote utakaposoma kuhusu mobile money africa, sifa zinaenda kwa safaricom.
Yani ni kati ya product ambazo zilikuwa developed zikiwalenga waafrika wenyewe toka chini na ndio maana hii kitu imefanikiwa sana afrika. Vodacom walijaribu kuipeleka Ulaya ikafail vibaya mno yani nchi waliyoanza nayo ilibidi waisitishe ndani ya miezi sita. Same kwa south africa, mpesa ilifail.
 
Kwanini ilifeli?
 
Voda wamekata rufaa na kumbe jamaa alifanya makubaliano kwa mdomo na CEO
 
Swala la kupangiwa kifurushi muda wa kuisha nahitaji kibatala mmoja tupige hela. Mfano umenunua chipsi alafu unaambiwa ukishindwa kuyamaliza ndani ya nusu saa tunazchkua
Tulishawahi kuongea na wanaowasimamia katika mafunzo fulani, wakasema kifurushi kinaisha muda wake ukimalizika licha ya kuwa bado kipo kwa sababu bei unayouziwa sio halisi, ni bei ya ofa.

Wakasema ukitaka kifurushi chako kisiishe nunua muda wa maongezi kisha tumia hivyo hivyo na utakatwa bei elekezi kwa namna ulivyotumia muda wa maongezi wako yaani vocha na sio muda maalum yaani siku au wiki.

Nikaona hawa nao hawapo kwa ajili ya mwananchi.
 
Wazo! Wazo! Wazo!

Kabla ya kuanzisha jambo, kuna wazo.
Fine, kuna wazo nakubali, but kabla ya wazo kulikuwa mgunduzi wa mini-program ya kutuma fedha. Kuna ki program kidogo kwenye simu cha kutuma fedha, kupokea pesa , kuweka kiasi, ikatoa jina la mpokeaji/mtumaji. etc etc. Huyu atauza program yake ya kutuma na kupokea pesa. Sasa huyu aje asema M-pesa awasumbue kweli? huyu ndiye namuon ana haki ya kulipwa lots of money...... anyway ndivyo biashara zilivyo
 
Bro maana ya wazo ni nini ?
 
Unaamanisha huduma za Mobile Money ni Africa tu ndio zinafanya kazi
 
Kinachokera hawasemi yaani ni kimya kimya.Ila matangazo yao kila dakika.
 
hizi tabia zipo yani hakikisha ukipeleka wazo kwa dunia ya sasa kuwa na copy right na full document .sehemu yoyote kwanza hawa matajiri,viongozi na kampuni ogopa sana wanajifanya kama ni jambo geni au hawa kusikilizi ukiacha kisogo ndio wazo lao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…