Vodacom yaamriwa kumlipa fidia ya Mabilioni aliyebuni huduma ya "Tafadhali Nipigie"

Ngoja nikawashitaki jamaa, niliwapigia simu waifungie line yangu kwa muda mpaka nitakapowambia kuifungua wao wamempa mtu mwingine.
 
Ngoja nikawashitaki jamaa, niliwapigia simu waifungie line yangu kwa muda mpaka nitakapowambia kuifungua wao wamempa mtu mwingine.
Tafuta wakili mzuri,

Ukipata PESA kutokana na fidia utakayolipwa,itasaidia kuwafanya watumie akili vizuri.
 
Tafuta wakili mzuri,

Ukipata PESA kutokana na fidia utakayolipwa,itasaidia kuwafanya watumie akili vizuri.
Hawa jamaa jau sana na line hiyo niliunganisha kwenye mishe zangu kibao asee.
 
Mimi naanzisha App ya ku-request papuchi iliyopo jirani na wewe
 
Hawa jamaa jau sana na line hiyo niliunganisha kwenye mishe zangu kibao asee.
Uingereza case za namna hiyo nyingi sana zimewahi funguliwa na makampuni yakalipa fidia ya mamilioni ya paund Kwa uzembe.

Watanzania Si wafutatiliaji wa HAKI zao, serious ikiwa line Yako ilikuwa umesajiliwa na wakampa mtu mwingine,

Ukipata wakili mzuri ukafungua case court kudai fidia, kampuni itakuita chemba myamalize,

Utapata pesa, na Ujinga huo wataacha.
 
Unaamanisha huduma za Mobile Money ni Africa tu ndio zinafanya kazi
Mobile money mfano wa mpesa tigo pesa, airtel money zimefaulu afrika kwa sababu zilitengenezwa afrika... Ulaya walijaribu zikafail, South pia zimefail.
 
Kwanini ilifeli?
Mpesa ilipoanza haikuanza kama huduma ya kutuma pesa, safaricom walilenga kudevelop huduma ya kutuma mikopo kwa watu wa kipato cha chini. Lakini wakaja kugundua watu hao wanaitumia kama njia ya kutumiana pesa. So, wakarudi mezani na kuja na hiyo product, na toka mwanzo walilenga watu wenye viswaswandu maana internet afrika shida ndio maana ilikuwa ina USSD toka mwanzo kitu amabcho kuna nchi USSD haitumiki kabisa hasa nchi kama Japan, na baadhi za ulaya.
So ilipofanikiwa Afrika wakadhani na ulaya itafanikiwa nadhani walianza na Romania, kule mitandao ya kibenki, paypal, na huduma nyingi zimeshashika kasi. Mpesa ilikuwa developed kwa watu ambao wako nje ya mfumo wa kibenki na ndio maana hata south ilifail.
 
unapowaambia USSD wengine wasielewe. kuwarahisishia ussd ni sawa na sms - short message service.
 
Ulaya na Amerika hakuna hizo mambo.
Kwa nini ulaya zimefeli? Je huduma za benki ni rahisi kuliko mobile money?
Naonaga bongo watu wasio na kipato cha uhakika huduma za benki zinawashinda.

Hata akaunti za wanafunzi wa chuo mwisho wa kutumika ni anapomaliza chuo, baada ya hapo asipopata ajira anabaki na mobile money yaani tigopesa na ukoo wake.
 
Makate and Vodacom have been involved in a back-and-forth court battle for fair and reasonable compensation for nearly a decade since the Constitutional Court ruled on the matter.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakadaiwa fidia na mwenye wazo, ndiyo wakalazimika kumfanya ndiye Wakala Mkuu wa M Pesa, ili avute hela kwa kila muamala wa M Pesa.[emoji419][emoji375]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
unapowaambia USSD wengine wasielewe. kuwarahisishia ussd ni sawa na sms - short message service.
Hapa ujaelezea bali umeweka kirefu ambacgo bado ni very technical kuelezea ni....USSD ni code zinazo run(kufanyika) nyuma ya panzia kifanikisha lengo mfano wa USSD ni *147*00# kujiunga Tigo then ukiingiza hizo Code nyengine zina Run...ni mfumo usiotumia internet.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…