Vodacom yafafanua changamoto ya mtandao inayoendelea, wanashughulikia kumaliza tatizo

Vodacom yafafanua changamoto ya mtandao inayoendelea, wanashughulikia kumaliza tatizo

Technical wanarun links/Connections 1+1 or Active/StandBy mode ,lazima kuwe na protection ,mangwini ndiyo wanatembea na one leg.
Wako hivyo....1+1 na inakuwa audited Vodafone standard.....wame run backhaul minara yoote fiber nchi nzima....hakuna issue za congestion....ngoja tusubiri tech report tutajua ilikuwa nini ukute servers za biling na authentication.....plus licenses ukute sio issue za BH...!! Tujipe muda
 
Yani vodacom siwaelewi kabisa
Muamala toka jana nimetuma adi sasa hivi haujafika na hakuna huduma ya kuongea na customer service wao
Bora tuhamie airtel tu kwakweli
 
Yani vodacom siwaelewi kabisa
Muamala toka jana nimetuma adi sasa hivi haujafika na hakuna huduma ya kuongea na customer service wao
Bora tuhamie airtel tu kwakweli
Hii hali ndiyo imenikuta Jana mpaka Sasa wako kimya Kama sio wao na Mambo yamesimama .

Yaani itoshe kusema wanachelewesha juhudi zangu za kuwa tajiri mkubwa hapa kijijini
 
Back
Top Bottom