Vodacom yapata hasara ya shillingi bilioni 5.06 ndani ya miezi sita kutoka Septemba 2020

hiyo hasara tutaifidia mimi&wewe ambao ni customers wa vodacom.
 
Wiki au Miezi?

Sijaelewa.

Maana ukiniambia Miezi 6 kutokea Sept 2020 hafu sahivi tupo Nov sijaelewa.
Vodacom (T) reported a net loss of 5.06bn/- in six months to September due to tax penalties dated back over 10 years ago.

Kizungu kimekaa poa zaidi
 
500 dk 15 na dk 5 za saa sita usiku😄😄😄😄😄
 
Biashara kama ailipi si unaacha,wakipataga faida mbona awatangazi kama wamepata faida!!
 
Waache tu wale hasara tena mbona ndogo sana wao wanatuiibia sana walalahoi sie, wacha msumeno ufanye kaz yake bhana
 
Vodacom walivyo wezi wanapataje hasara? au ndiyo kujinyenyekeza! wakiamua kukata sh100 kwa kila mteja hiyo hasara inatokeaje.?
 
Once unaposhiriki muovu lazima ubebe hizo expenses, Vodacom ni wahujumu mojawapo wa uchafuzi wa 2020, hivyo kama wamepigwa hilo panga ni halali.

Wasiwahusishe tuu na makato yao.
 
Sio miezi sita kutoka September, ni miezi sita hadi kufikia September ( ina maanisha toka Machi). Inamaana hujui kiswahili?
 
 

Hawa wanaojisifu wanakusanya kodi, hivyo ndivyo kodi zenyewe zinavyokusanywa. Wanaangalia biashara toka miaka kadhaa iliyopita. Wanakuja na estimates za ajabuajabu na Hakuna namna lazima zilipwe.

Namna hiyo kampuni nyingi zinachechemea
 
Voda inawateja mil 15.67 wakichukua watu mil 15 tu wakakatwa mia5 kwa mwezi wanapata billion 7 point hasara inakua ishafidiwa haraf chench wanagawana
 
Shareholders kubebeshwa mzigo. Najuta kununua vidacom shares.
 
Na tunae huyu Mpaka 2032 labda hapa kati "IZIRAELI" afanye yake.
 
Wateja wa Voda hiyo hasara wataifidia tu
[emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
hayakuhusu mkuu, kwani hiyo kampuni ya kwako? Mbona wewe huweki kampuni zako ili tuone zimepata hasara au faida? Umekazana na kampuni za watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…