TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,866
- 5,747
Wewe nadhani ni mjinga namba moja hapa Tanzania
Sihofii matusi yako mkuu,mimi natambua na nina haki ya kujivunia amani ya nchi yangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe nadhani ni mjinga namba moja hapa Tanzania
90% ya mawasiliano wanayosikiliza ni kwa ajili ya CCM sio taifa.
Wizi unaosema wewe hauhusiani hapa! Ishu iliyopo ni udukuzi kiuhalisia ni mzuri ili kuilinda nchi....hawajiamini wanatawala kwa hira lazima wajihadhali wezi wakubwa hao
Hi ni kweli mbona hawakamati wahalifu wakubwa ila wakiweka siasa kando wanafanya kazi nzuri tu kwa taifa
mkuu ukiona hivyo ujue haki sawa ana matatizo, mimi kama nawasiliana na mpenzi wangu, mawasiliano ya biashara n.k nina tatizo gani?
lawmaina78 "ukuje" huku usome hii article.
We mjinga amani ipo wapi wakati watu wanaishi maisha ya kimaskini kupindukia, amani inaanzia moyoni mwa mtu sasa wewe amani unayoipigia upatu hapa ni ipi classifySihofii matusi yako mkuu,mimi natambua na nina haki ya kujivunia amani ya nchi yangu.
Idiot thinkingMmelewa amani, sasa mjamba hovyo.