Vodafone: Watanzania walio wengi hawapendi mawasiliano yao na viongozi wao kuingiliwa/kurekodiwa

Vodafone: Watanzania walio wengi hawapendi mawasiliano yao na viongozi wao kuingiliwa/kurekodiwa

Usalama ni kitu muhimu sana. Naunga mkono hili suala la kusikiliza simu na kusoma email ili kuhakikisha usalama wetu uko vizuri.
 
wadukuzi wapo wengi sana! ilitokea kwenye ofisi moja ya umma jamaa alipost ujinga humu JF kuhusu ofisi yake kilicho mkuta ni balaa baada ya director general wao kuomba msaada kwa wadaukuzi wakamjua nani katoa siri za ofisi
japo jf founder alikanusha hakuna anayeweza kuidukua JF,lakini jamaaa alitemeshwa mzigo
 
90% ya mawasiliano wanayosikiliza ni kwa ajili ya CCM sio taifa.
 
mkuu ukiona hivyo ujue haki sawa ana matatizo, mimi kama nawasiliana na mpenzi wangu, mawasiliano ya biashara n.k nina tatizo gani?

Mkuu thinking capacity yako is too low,usalama wa taifa hawana mpango na wewe kuongea mambo ya mapenzi biashara,wana code zao kilaza kama wewe can't tell you
 
ni jambo zuri. waendelee tu ku-spy simu zenu kwa maslahi mapana.
 
Nimefurahishwa Na Hilo.Kama Si Muhalifu Unaogopa Nini Kudukuliwa?
 
lawmaina78 "ukuje" huku usome hii article.

Safi, mimi naafiki wadukue tu, ni muhimu kwa usalama wa taifa, ila wasiyasklize ninayomwambia baby wangu. Unafaa uelewe hata ukupinga, bado watadukua tu, huna uwezo wewe.
 
Sihofii matusi yako mkuu,mimi natambua na nina haki ya kujivunia amani ya nchi yangu.
We mjinga amani ipo wapi wakati watu wanaishi maisha ya kimaskini kupindukia, amani inaanzia moyoni mwa mtu sasa wewe amani unayoipigia upatu hapa ni ipi classify
 
We haki kwanza sikilizaaa,tupo katika dunia ya capitalist...unataka hao watu maskini wafanywaje labda???nenda popote pale duniani classes are inevitable....sasa wewe unataka kila kitu kiwe steep???serikali inakupa kile kinachowezekana vingine kazia mwenyewee...we subiria serikali itakuletea makaronii na egg chop apo nyumbanii...kamata fursa jikwamuee alonee....,usiiiishi kwa matarijioo ndotoo..pambana
 
Habari hii ilitoka siku chache baada ya balozi wa UK nchini kutuhumiwa kufanya ujasusi nchini...
Yawezekana nao walitaka kujibu mapigo kiaina..kwamba nchi inawafanyia ufuatiliaji watu mbalimbali na bila shaka mabalozi?
 
Back
Top Bottom