Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke

Usipoteze mda umenielewa, kwani uisilamu wa Samia una nithiri kitu gani mimi ? Magufuli alikua mkristo mwenzangu lakini sijawahi mpenda sioni logic yako kwenye angle ya dini
Kuwa mimi Muislam na kuwapenda Waislam wenzangu wewe kunakuathiri kitu gani? kama wewe huna mapenzi na Wakristo wenzio basi unataka na mimi niwe kama wewe?

Labda huelewi (ignorant) mafundisho ya Kiislam, huwezi kuniachisha amri za Allah ndani ya Qur'an na kunifanya nikufate wewe. Soma hiyo...

Qur'an 3:
102. Enyi mlio amini! Mcheni Mwenyezi Mungu kama ipasavyo kumcha; wala msife ila nanyi ni Waislamu.
102
103. Na shikamaneni kwa Kamba ya Mwenyezi Mungu nyote pamoja, wala msifarikiane...
 

P,
Sijakuelewa wewe ni mwandishi kweli ukumbe very complicated kuelewa. Mimi kazi yangu ni opposite kama analyst ni kurahisisha vitu! Kwa ufupi sijaelewa ujumbe wako na tofauti ya Yeye na Yeye😂
 
P,
Sijakuelewa wewe ni mwandishi kweli ukumbe very complicated kuelewa. Mimi kazi yangu ni opposite kama analyst ni kurahisisha vitu! Kwa ufupi sijaelewa ujumbe wako na tofauti ya Yeye na Yeye😂
Japo JF mwanzo was meant to be the home of great thinkers, great mind who discuss ideas, those who can read and think, but as times go by, simple minds who discuss people wakajazana humu, ordinary mind who discuss events nao wakajazana humu, hivyo sasa jf ni home to everyone, simple minds, ordinary minds na great minds, ukipandisha bandiko linalohitaji great mind to digest, only the great mind ndio wataelewa unazungumzia nini, simple minds na ordinary minds wataishia chaka.

Kwa kukusaidia wewe and the like minded people wa level yako, bandiko hili Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!
Maana yake
  1. Marais wa nchi hupangwa na YEYE.
  2. JPM yeye alipanga kumalizia awamu yake ya pili lakini YEYE akampangia kazi nyingine na badala yake ndiye akatuletea Samia.
  3. Hivyo Rais Samia hakupanga yeye kuwa rais wa JMT bali alipangiwa na YEYE.
  4. Urais haupangi wewe, kazi yako ni just to wish, Ila ili uwe wewe na wish yako itimie, ni lazima iwe imepangwa na YEYE.
  5. Rais Samia alipoulizwa na Kikeke kama atagombea 2025 alijibu vizuri kuwa mambo ya 2025 tumwachie mpangaji Mungu.
  6. Kwa vile Tanzania hatukuwahi kuchagua rais Mwanamke, Kwa Samia imetokea tuu kwa kudra za Mungu, then lets wish 2025 tusimame na mgombea Mwanamke.
  7. Nikasema mwanamke huyo, sio lazima awe ni Rais Samia, bali ni yule aliyepangiwa na YEYE.
  8. Hivyo kama 2025, ni Samia ndiye aliyepangiwa na YEYE, then who are we to say no?.
  9. Hivyo kama yeye ndiye aliyepangiwa na YEYE, then 2025 ni yeye.
  10. soma tena
Hivyo wakati tukisubiri 2025 huku tukienda na Samia, hivi visauti sauti sasa ndio vinaanza. Kwa vile no one is certainly sure of tomorrow, na hakuna uthibitisho wa hizi sauti , voices from within kama ni sauti ya YEYE au yeye, ukisikia sauti inakuambia kitu, kama kitu hicho kinasemeka, kiseme, ili kijulikane, kama ni kizuri kipepewe, kama ni sio kizuri kitafutiwe jinsi.

Natumaini nimeeleweka.
P.
 
Upo MWISHO wa Kila jambo lenye MWANZO chini ya jua.

NYUMBA iliyofitinika haiwezi simama. Ebu fikiri kwamba yule mtu wako wa karibu zaidi ndo anakupangia mabaya, utatoboa Kweli?
 
Nakumbuka Rais Samia alipoingia madarakani amewahi kuwakilishwa na Rais wa Zanzibar mara kadhas kwenye shughuli alizotakiwa kuwepo. Mpaka nje ya nchi. Kipindi Cha NYUMA angewakilishwa na makamu wa Tanzania. Hii inaweza kuwa ni mwanzo wa kuyarejesha madaraka yake Rais wa Baraza la Zanzibar??? Itawezekana??
 
Stop nonsense, wewe na Nani? Achà sweeping statements. Sema wewe umeamua kwenda na mwanamke 2025.
Mkuu Retired , jf ni jukwaa huru, kila mtu yuko huru kuposti maoni yake, hata nikiamua mimi, me, myself and I, I have the right kuandika 2025 tumeamua kwenda na Mwanamke!, hata nikiamua mimi na wife wangu na familia yangu, we have that right!, hii ya kuita opinion ya mwenzako nonsense, sio kunitendea haki!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…