Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke

Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke

Usipoteze mda umenielewa, kwani uisilamu wa Samia una nithiri kitu gani mimi ? Magufuli alikua mkristo mwenzangu lakini sijawahi mpenda sioni logic yako kwenye angle ya dini
Kuwa mimi Muislam na kuwapenda Waislam wenzangu wewe kunakuathiri kitu gani? kama wewe huna mapenzi na Wakristo wenzio basi unataka na mimi niwe kama wewe?

Labda huelewi (ignorant) mafundisho ya Kiislam, huwezi kuniachisha amri za Allah ndani ya Qur'an na kunifanya nikufate wewe. Soma hiyo...

Qur'an 3:
102. Enyi mlio amini! Mcheni Mwenyezi Mungu kama ipasavyo kumcha; wala msife ila nanyi ni Waislamu.
102
103. Na shikamaneni kwa Kamba ya Mwenyezi Mungu nyote pamoja, wala msifarikiane...
 
Mkuu Kamundu, bandiko ni hili Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye! ni passuasive kuwataka Watanzania tuunge mkono hoja ya 2025, twende na mgombea mwanamke, na nikasema mwanamke huyo wa 2025 sii lazima awe yeye Mama, bali yule aliyepangiwa na YEYE. Nikasema kama ni yeye, ndiye aliyepangiwa na YEYE, ni yeye!.

Sasa nimesikia sauti akiambiwa awe only one term president. Kwa vile no one is certain hii sauti niliyoisikia kama ni sauti ya YEYE au ni yeye. Kama ni sauti ya YEYE, then litatimia. Kama ni sauti ya yeye, then hili litapita na 2025 tutamuingiza ikulu mgombea mwanamke.
P

P,
Sijakuelewa wewe ni mwandishi kweli ukumbe very complicated kuelewa. Mimi kazi yangu ni opposite kama analyst ni kurahisisha vitu! Kwa ufupi sijaelewa ujumbe wako na tofauti ya Yeye na Yeye😂
 
P,
Sijakuelewa wewe ni mwandishi kweli ukumbe very complicated kuelewa. Mimi kazi yangu ni opposite kama analyst ni kurahisisha vitu! Kwa ufupi sijaelewa ujumbe wako na tofauti ya Yeye na Yeye😂
Japo JF mwanzo was meant to be the home of great thinkers, great mind who discuss ideas, those who can read and think, but as times go by, simple minds who discuss people wakajazana humu, ordinary mind who discuss events nao wakajazana humu, hivyo sasa jf ni home to everyone, simple minds, ordinary minds na great minds, ukipandisha bandiko linalohitaji great mind to digest, only the great mind ndio wataelewa unazungumzia nini, simple minds na ordinary minds wataishia chaka.

Kwa kukusaidia wewe and the like minded people wa level yako, bandiko hili Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!
Maana yake
  1. Marais wa nchi hupangwa na YEYE.
  2. JPM yeye alipanga kumalizia awamu yake ya pili lakini YEYE akampangia kazi nyingine na badala yake ndiye akatuletea Samia.
  3. Hivyo Rais Samia hakupanga yeye kuwa rais wa JMT bali alipangiwa na YEYE.
  4. Urais haupangi wewe, kazi yako ni just to wish, Ila ili uwe wewe na wish yako itimie, ni lazima iwe imepangwa na YEYE.
  5. Rais Samia alipoulizwa na Kikeke kama atagombea 2025 alijibu vizuri kuwa mambo ya 2025 tumwachie mpangaji Mungu.
  6. Kwa vile Tanzania hatukuwahi kuchagua rais Mwanamke, Kwa Samia imetokea tuu kwa kudra za Mungu, then lets wish 2025 tusimame na mgombea Mwanamke.
  7. Nikasema mwanamke huyo, sio lazima awe ni Rais Samia, bali ni yule aliyepangiwa na YEYE.
  8. Hivyo kama 2025, ni Samia ndiye aliyepangiwa na YEYE, then who are we to say no?.
  9. Hivyo kama yeye ndiye aliyepangiwa na YEYE, then 2025 ni yeye.
  10. soma tena
  11. Marais wa Nchi Hupangwa na Mungu, hata JPM alikuwa ni Chaguo la Mungu kwa Tanzanzia, ila Mungu huweza kulikatiza chaguo lake wakati wowote na kumchagua mwingine, hii haikuanza leo, toka enzi za Nabii Musa, alikatizwa hakuingia nchi ya ahadi Caanan, kwa sababu fulani. Everything happens for a reasons anazojua Mungu mwenyewe, hivyo hata Samia ni mpango wa Mungu kwa Tanzania labda hadi 2025 ni Mungu tuu mwenyewe anajua. Kama Samia ni mpango wa Mungu kwa Tanzania 2025 -2030, then Mungu atasema nasi hapa katikati kabla ya 2025, kwasababu hata JPM, hakuna aliyejua Mungu alipanga nini, vivyo hivyo kwa Samia 2025, ni Mungu tuu pekee ndiye ajuaye amepanga nini, lakini kwa utaratibu wa CCM, urais huu wa sasa wa Mama Samia ulioletwa kwa kudra tuu za Mwenyezi Mungu, hii ni awamu yake ya kwanza, hivyo kila mtu anajua utaratibu wa CCM, anajua uchaguzi wa 2025 ndio awamu yake ya pili ya Mama Samia but only if kama ndivyo Mungu alivyopanga.

    Kwa vile hili ya yeye kugombea 2025, rais Samia mwenyewe aliisha liweka vizuri kabisa ile siku anahojiwa na Salim Kikeke wa BBC, baada ya kuhojiwa kama atagombea urais 2025, rais Samia alijibu vizuri kabisa kuwa "kwa sasa tufanye kwanza kazi, ya 2025 tumwachie Mungu maana no one is shure kufika 2025", hivyo hata rais Samia aliposema 2025 tutamchagua mwanamke, hajamaanisha lazima mwanamke huyo awe ni yeye!. Hivyo ni busara kwa rais wetu Samia, hili la ugombea wa 2025, asilizungumze zungumze sana kwa sasa, ni vyema akaendelea na msimamo wake ule ule wa kwenye BBC kuwa ya 2025 tumuachie Mungu. Kwa sasa, rais aendelee ku deal na haya ya Kaizari, kwa kuchapa kazi na kazi iendelee na yale ya Kimungu tumuachie Mungu mwenyewe.

    Swali linabaki, Jee Samia ndio mpango wa Mungu kwa Tanzania, 2025 ....

    Sasa kama mpangaji ni YEYE, na ndie amepanga 2025 ni yeye, then who are we to say no?.

    2025 Twende na Mwanamke!.

    Paskali
Hivyo wakati tukisubiri 2025 huku tukienda na Samia, hivi visauti sauti sasa ndio vinaanza. Kwa vile no one is certainly sure of tomorrow, na hakuna uthibitisho wa hizi sauti , voices from within kama ni sauti ya YEYE au yeye, ukisikia sauti inakuambia kitu, kama kitu hicho kinasemeka, kiseme, ili kijulikane, kama ni kizuri kipepewe, kama ni sio kizuri kitafutiwe jinsi.

Natumaini nimeeleweka.
P.
 
Upo MWISHO wa Kila jambo lenye MWANZO chini ya jua.

NYUMBA iliyofitinika haiwezi simama. Ebu fikiri kwamba yule mtu wako wa karibu zaidi ndo anakupangia mabaya, utatoboa Kweli?
 
Mkuu cabo , asante sana kwa swali hili, japo linaonekana kama ni swali lakijinga sana kwa sababu inatarajiwa kila Mtanzania ni lazima aijue katiba, the basics, kuwa rais akitokea upande mmoja wa muungano, VP ni lazima atoke upande mwingine. Samia ni rais kutoka Zanzibar hawezi kumteua Dr Mwinyi kuwa VP.

Ila tulipo ungana, Rais wa Zanzibar ndie VP wa kwanza, halafu PM ndie VP wa pili. Samia akiamua kumrudishia hadhi rais wa Zanzibar kwenye hii setup ya muungano, anaweza. Kwa sasa ndani ya set up ya muungano, rais wa Zanzibar is nothing,ni nobody!. Anaelezwa kuwa atateuliwa na Rais wa JMT kuwa Waziri asiye na Wizara maalum ili tuu aweze kuhudhuria cabinet meetings lakini ndani ya setup ya muungano rais wa Zanzibar is nobody!, na mpaka hapa ninapoandika, katiba ya JMT haitambui GNU, wala wale Makamo wawili wa kule, ila tuu wanatambulika ki protokali kwa heshima tuu. Hivyo sasa maadam Rais wa JMT ni kutoka Zanzibar, huu sasa ndio wakati muafaka kwa hadhi ya Zanzibar ndani ya muungano iwe restored, Katiba ya JMT iitambue katiba ya Zanzibar na ku ya adopt mabadiliko yake. Rais wa Zanzibar awe restored kuwa VP etc etc.
P
Nakumbuka Rais Samia alipoingia madarakani amewahi kuwakilishwa na Rais wa Zanzibar mara kadhas kwenye shughuli alizotakiwa kuwepo. Mpaka nje ya nchi. Kipindi Cha NYUMA angewakilishwa na makamu wa Tanzania. Hii inaweza kuwa ni mwanzo wa kuyarejesha madaraka yake Rais wa Baraza la Zanzibar??? Itawezekana??
 
Stop nonsense, wewe na Nani? Achà sweeping statements. Sema wewe umeamua kwenda na mwanamke 2025.
Mkuu Retired , jf ni jukwaa huru, kila mtu yuko huru kuposti maoni yake, hata nikiamua mimi, me, myself and I, I have the right kuandika 2025 tumeamua kwenda na Mwanamke!, hata nikiamua mimi na wife wangu na familia yangu, we have that right!, hii ya kuita opinion ya mwenzako nonsense, sio kunitendea haki!.
P
 
Back
Top Bottom