Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
-
- #361
Mkuu Ribbon, its true nchi ngumu hii, ila wazalendo wa kweli have a duty to help.Juzi Ansbert Ngurumo naye ameskia sauti ikimsemesha.....
Nchi ngumu hii- Ulimwengu one said.
Alivyokuwa hamnazo nae atavimba kichwa kwa komenti yako ya kipuuzi!Mkuu Paschal
Hili andiko umeandika kwa weledi mno. Ni kama yale maandiko yaliyokuwa yakiandikwa kwa Wakorinto (Corinthians of Greece), Waroma (Romans, Italy), Waefeso, Wagalatia na wengineo walikuwa wakipokea maandiko mazito mazito ya rohoni.
Hongera sana.
Amini nakuambia, andiko hili litakuletea shida. Litakuletea shida sana. Lakini utavuka salama na utaishi kuona likitimia.
Nikutakie heri kem kem.
Mkuu 50thebe, asante sana!.Mkuu Paschal
Hili andiko umeandika kwa weledi mno. Ni kama yale maandiko yaliyokuwa yakiandikwa kwa Wakorinto (Corinthians of Greece), Waroma (Romans, Italy), Waefeso, Wagalatia na wengineo walikuwa wakipokea maandiko mazito mazito ya rohoni.
Hongera sana.
Amen.Amini nakuambia, andiko hili litakuletea shida. Litakuletea shida sana. Lakini utavuka salama na utaishi kuona likitimia.
Nikutakie heri kem kem.
MKANDAHARIAlivyokuwa hamnazo nae atavimba kichwa kwa komenti yako ya kipuuzi!
Kumbe 'YEYE' alianza mkakati mapema na "YEYE" akabariki mkakati huo! ha ha haaaa, Ndugu Pascal unajua kweli kutwisti mambo kwa tahadhari kubwa. Hata hivyo, nakupa HEKO Kwa kazi kubwa na ngumu unayofanya.....nilimtabiria Samia urais wa JMT toka 2017, Pascal Mayalla alitabiri mwaka 2017 kuwa Samia atakuwa Rais wa JMT baada ya 2020...
ukweli mchungu !Natumaini uamuzi mwema wa kuweka kiongozi anaye weza kuongoza taifa ni tuwe na katiba imara ambayo hata ukimweka mtoto mdogo nchi isitegemee kuendeshwa na mtu iendeshe kwa misingi ya sheria na kwakuwa rais ni taasisi na taasisi imara ni katiba
Mkuu Glenn, kuna watu humu tunaona mbali ila basi tuu!, usikute mpaka leo wahusika wenyewe bado hawajaambiwa!, hata ile 2014 wakati napandisha bandiko hili Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli, by that time, wala JPM mwenyewe alikuwa hajui!, hivyo usikute mpaka sasa wala Samia mwenyewe hajajua!.Pascal Mayalla huenda yakatimia kwa hali ilivyo
Kuna kila dalili yeye siye tena 25.Mkuu Glenn, kuna watu humu tunaona mbali ila basi tuu!, usikute mpaka leo wahusika wenyewe bado hawajaambiwa!, hata ile 2014 wakati napandisha bandiko hili Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli, by that time, wala JPM mwenyewe alikuwa hajui!, hivyo usikute mpaka sasa wala Samia mwenyewe hajajua!.
Tembelea baadhi ya kauli umba zangu na kuyaangalia yale kauli hizo zilizo umba. "Ombeni Mtapewa", "Tafuteni Mtapata", "Bisheni Hodi Mtafunguliwa" Je, Wajua Kuna "Kauli" na "Kauli Umba" Ambazo Huumba? Shuhudia
P
Mwinyi ana nini hadi awe no.1..... 2025?Binafsi naombea iwe hivyo. Mwinyi 2025; hakika huyu atalipinya hili taifa
Mwinyi huyu huyu ambaye hata Zenj hakubaliki ndiyo umlete Bara?? Isingekuwa Magufuli ZNZ ingekuwa na mtu tofauti kabisaMwinyi ana nini hadi awe no.1..... 2025?
Pascal Mayalla
Hayo ni maneno ya mashambulizi na ukatishanaji tamaa kwa wenye mitazamo chanyaThe Sukuma Gang" kina exist in reality!, hakuna kitu kinachoitwa Sukuma Gang, ni just a fictitious group in mind za watu waliofilisika kimawazo!.