Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke

Ifahamike sio tunguli wala ubashiri Rais ajaye 2025 atatoka ccm na hatokuwa mwanamke ifamike hivyo na ndivyo itakvyokuwa, haina haja ya kupindisha maneno. Hata waimbe mama anaupiga mwingi sijui anatosha sijui nini nini, facts itasimama 2025 mama anastaafu na maisha yataendelea mengine.
 
Mkuu Paschal

Hili andiko umeandika kwa weledi mno. Ni kama yale maandiko yaliyokuwa yakiandikwa kwa Wakorinto (Corinthians of Greece), Waroma (Romans, Italy), Waefeso, Wagalatia na wengineo walikuwa wakipokea maandiko mazito mazito ya rohoni.

Hongera sana.

Amini nakuambia, andiko hili litakuletea shida. Litakuletea shida sana. Lakini utavuka salama na utaishi kuona likitimia.

Nikutakie heri kem kem.
Alivyokuwa hamnazo nae atavimba kichwa kwa komenti yako ya kipuuzi!
 
Mkuu Paschal

Hili andiko umeandika kwa weledi mno. Ni kama yale maandiko yaliyokuwa yakiandikwa kwa Wakorinto (Corinthians of Greece), Waroma (Romans, Italy), Waefeso, Wagalatia na wengineo walikuwa wakipokea maandiko mazito mazito ya rohoni.

Hongera sana.
Mkuu 50thebe, asante sana!.
Amini nakuambia, andiko hili litakuletea shida. Litakuletea shida sana. Lakini utavuka salama na utaishi kuona likitimia.

Nikutakie heri kem kem.
Amen.
P
 
Na huo ndio
Natumaini uamuzi mwema wa kuweka kiongozi anaye weza kuongoza taifa ni tuwe na katiba imara ambayo hata ukimweka mtoto mdogo nchi isitegemee kuendeshwa na mtu iendeshe kwa misingi ya sheria na kwakuwa rais ni taasisi na taasisi imara ni katiba
ukweli mchungu !
 
Pascal Mayalla huenda yakatimia kwa hali ilivyo
Mkuu Glenn, kuna watu humu tunaona mbali ila basi tuu!, usikute mpaka leo wahusika wenyewe bado hawajaambiwa!, hata ile 2014 wakati napandisha bandiko hili Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli, by that time, wala JPM mwenyewe alikuwa hajui!, hivyo usikute mpaka sasa wala Samia mwenyewe hajajua!.
Tembelea baadhi ya kauli umba zangu na kuyaangalia yale kauli hizo zilizo umba. "Ombeni Mtapewa", "Tafuteni Mtapata", "Bisheni Hodi Mtafunguliwa" Je, Wajua Kuna "Kauli" na "Kauli Umba" Ambazo Huumba? Shuhudia

Kuna kila dalili yeye siye tena 25.
Yule mzee hajaongea kwa bahati mbaya.

Anajua akisemacho kibaya zaidi sisi wabongo huwa hatupendi kusikia tusiyoyapenda.

Yakobo wa Isaka alikuwa na akili sana.
Mwanae Yusufu alimsimulia ndoto kuwa ameota baba na watoto kuna siku watansujudia.

Alimkemea Yusufu lakini biblia inasema kuwa hayo maneno ya Yusufu/ndoto aliitunza moyoni.

Nashauri Watanzania tusiwe tunapuuza dalili ndogo ndogo kama hizi na maabgalizo bali tuwe tunasubiri muda useme ukweli
 
Back
Top Bottom