Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke

Hatutatki ten uongozi wa kibabd na mbovu kama ule wa jpm. Dunia imebadilika sana haihitaji wababe na kufungia vyombo vya habari
 
Wanabodi
Haya mambo ya
Pascal, kama unasema YEYE ndo hupanga kwanini unasema Samia amuombe Mwinyi ndo aje huku.Je huyo YEYE amekuambia hamtaki Samia ila anamtaka mwinyi?
Lapili, inaknekana tangia mwaka 2014 uliatabiri magufuri kuwa mgombea wa CCM ila sbb ukakataa kuzisema,,na hapa hujataja sbb za YEYE kumkataa Samia licha ya kujtahidi sana.Na nikislma kwa makini ninaona unafahamu mipango yote ya mauaji y JIWe.Unawezfunguka ni kwanini jiwe aliondolewa ili kuendana na utabiri wako wakiwa YEYE alipanga aje mwanamke accidentally.
Tatu..nikwanini hnaanza kutoa mandoto ya ajabu ajabu juu ya mama samai wakatianajitahidi kufa ya vizuri sana kuliko magufiri na hata kumzidi mbali sana kikwete mzee WA scandal kubwkunwa za wizi?
 
Chuki na ubaguzi ndio vinavyo watesa.

Kwanini wakati ule yule Mungu mtu wenu anagombea awamu ya pili msingemshauri amuweke huyo Hussen? Lakini hata Hussen angewekwa bado mngedai mtu mwingine,jinga sana.
Hapa wasukuma hawahusiki,,Hapa ni kikwete anataka kuweka watu wake kwa kumtisha mama etu hata maguri alikuwa mkali akaondoka.Wamekuawakimulizimisha atoe trillion Moja kusaidia WAFA ya kashara kwa kisingizio cha kussaport uwekezaji wa ndani alili watoe ajira na eye kakataa ,,sasa ndo tabiri hizi za kijinga zinajitokeza
 
Hii WAFA mmiliki wake ni nani mkuu
 
Ni katika kutafuta tu justificatio ya uzi wako but,

sukuma gang is real na tumeishuhudia.

iliwahi fahanika mratibu wake ni gwajima.

wako ndani na nje ya hio gang.

but theie movement and echoes heard very clearly
 
YEYE keshaamua hivyo mshaurini tu apumzike akikaza fuvu shauri yake
 
Kumbe ata wewe ni mfumo dume?
 
Huyu Pascal Mayalla ni mtu anayeona mbali sana, unaweza kumuona kama mtu wa ajabu ila yeye akielezaga jambo amemaliza siku likitokea la kutokea huwa ana reply kwa kushusha Uzi wake wa alichokiandika. Much respect bro!
Asante sana Mkuu amshapopo , ni kawaida nabii huwa hakubaliki nyumbani, nilichofanya ni kuwaeleza watu humu kuwa tuna manabii wetu humu Tanzania tulipo Sipo!. Nabii Hakubaliki Nyumbani, JF Tuna Manabii wa Kweli, Tuwatumie Walisaidie Taifa!

Bandiko hili watu watalielewa baada ya 2025.
P
P
 
Yaan ulipomtaja tulia umelikoroga kabisa nimejiskia vibaya sana kwann mnakuwa wajinga hivi yaan vichwa mnavyo mnapambana kutawaliwa na wanawake are you serious? CCM acheni bangi tumeshachelewa sana hivi hamuoni hilo? You should fix this acheni ujinga
 
Umemaliza Anko.
Lucas Mwashambwa pitia hapa upige msasa akili yako
 
Haya matokeo ya uchaguzi wa Marekani, yamenipelekea kumtafakari mgombea mwanamke kwa 2025,
ila tukubali tukatae, Wamarekani ni majitu majinga ajabu!, yanawezaje kumchagua mtu wa ajabu vile ili tuu kumchagua mgombea mwanaume hata awe wa ajabu vipi, kuliko kumchagua mgombea mwanamke!.

2025 Tanzania tuinyeshe Dunia kuwa ni Baba wa Demokrasia Afrika Mashariki kwa Kumchagua Rais Mwanamke.
P
 
Tatizo walamba asali .
Walamba asali ni watu wahuni, washenzi na wasio na uchungu na Taifa lao.
Ni kama watu wasio na utaifa.
Wanachoangalia ni maslahi yao tu na walivyo na akili finyu wanajua kuwa ili maslahi ipatikane lazima wamsifie Maza kuwa ni best president ambaye hakuna mfano wake. Maza ataingia king atavuta fomu na kupita kwa kishindo huku mafisadi wakashangilia chooni .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…