Turudi kwako mkuu unahakika wakati unasikia hiyo sauti ulikuwa hujalewa kweli..?Wanabodi
Haya mambo ya mtu kusikia sauti, sio mambo ya ulimwengu huu wa mwili, haya ni mambo ya ulimwengu wa Roho...
Yaani huyu ndugu yangu uchambuzi wake siku hizi umekosa objectivity kabisa. Uraisi siyo entitlement. Kuna wengi amewapigia chapuo kwenye uongozi kwa sifa kemkem, unfortunately they failed. Massively. Tujifunze kuweka urafiki na mahaba pembeni kwa maslahi mapana ya taifa.Wasukuma mna shida gani,kama una mtaka hiyo Mwinyi mpeleke akoongoze huko kwenu.
Kwani uliambiwa hapa Tanzania mwenye uwezo ni mwinyi tu.
Umezaliwa baada ya 1995 wewe.Mwinyi hawezi kuwa rais wa nchi mbili tofauti, kashakuwa rais Zanzibar...Hawezi kuwa rais wa Tanganyika.
huu ni mwongozo wa katiba au maoni yako mkuu?Mwinyi hawezi kuwa rais wa nchi mbili tofauti, kashakuwa rais Zanzibar...Hawezi kuwa rais wa Tanganyika.
Kwani Mwinyi mkubwa au baba si alikuwa Rais wa Zanzibar kabla ya kuja kuwa Rais wa JMT?Mwinyi hawezi kuwa rais wa nchi mbili tofauti, kashakuwa rais Zanzibar...Hawezi kuwa rais wa Tanganyika.
Mh! Mkuu wewe wasemea mwinyi yupi isijekuwa unajua mwinyi wa mtaa wenu huko!We nae ndio hujui kitu, Ali Hasani Mwinyi alikuwa rais wa muda tu Zanzibar .
Tatizo kubwa la watu wa nchi hii kuishi kwa ramli, kujifanya wanatabiri sijui wanna ya mbele.Wanabodi
Haya mambo ya mtu kusikia sauti, sio mambo ya ulimwengu huu wa mwili, haya ni mambo ya ulimwengu wa Roho...
Kama hujui katiba basi jifunze hata kwa historia, Rais wa Zanzibar anaweza kuwa hata makamu Bara achilia mbali urais wa JMT.Mwinyi hawezi kuwa rais wa nchi mbili tofauti, kashakuwa rais Zanzibar...Hawezi kuwa rais wa Tanganyika.
Ili nchi ikawe sawa tena, "one term presidents" itawapasa wapite kadha wa kadha.Wanabodi
Haya mambo ya mtu kusikia sauti, sio mambo ya ulimwengu huu wa mwili, haya ni mambo ya ulimwengu wa Roho.
Hii ni thread ya maono ya unabii, na sio utabiri na sio trends reading, ni unasikia tuu sauti inakuambia jambo fulani bila kuambiwa sababu na huwezi kuuliza, hivyo nami naomba kuwaeleza tuu sauti niliosikia na naomba msiniulize kitu kwasababu sio mimi ni sauti
Leo nilikuwa naandika bandiko fulani humu JF, ndipo ghafla nikaisikia sauti (voices from within) kuwa Rais wa JMT kwa 2025 should be Dr. Hussein Mwinyi kwa kipindi kimoja, then 2030 ndipo tuje na mgombea mwanamke!.
Sauti hiyo inamaanisha inamtaka Rais Samia awe ni Rais wa JMT kwa kipindi kimoja tuu hadi 2025. Sauti hiyo ikasema ni Rais Samia mwenyewe willingly anatakiwa kumuomba Dr. Hussein Mwinyi, 2025 aje kugombea urais wa JMT, kuimalizia awamu ya pili ya Samia, kwa awamu moja tuu,.
Na kipindi hicho cha 2025- 2030 ndio sasa sasa tufanye grooming ya Mwanamke atakagombea urais wa JMT kwa 2030.
Japo Tanzania, tulipania 2025 twende na mgombea mwanamke, na mimi niliunga mkono hoja hii Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!
kama hii sauti ni yake YEYE kweli, then unamaanisha kwa uchaguzi wa 2025, Tanzania tuna mgombea mmoja tuu Mwanamke, yaani the one and only ambaye ama anatakiwa na YEYE apumzike ampishe Mwinyi ama ...
Inaendelea ...
Paskali
(Mzee wa The Voices Within)
Hapa nakuunga mkono.Wanabodi
Haya mambo ya mtu kusikia sauti, sio mambo ya ulimwengu huu wa mwili, haya ni mambo ya ulimwengu wa Roho...
Naona fukuto linaendelea ,mpaka Pascal ametumwa kutaka kusikia upepo ukoje.Mambo yanazid kuwa moto.Mm nafikiri katiba mpya ndio suluhisho.Wanabodi
Haya mambo ya mtu kusikia sauti, sio mambo ya ulimwengu huu wa mwili, haya ni mambo ya ulimwengu wa Roho...
Kwanini hawezi kua ? Mbona 1984 baba yake alikua Raisi Wazanziba 1985 akaja kugombea huku bara na akawa Raisi Wajamhuri yamuungano WatanzaniaMwinyi hawezi kuwa Rais wa nchi mbili tofauti, kashakuwa Rais Zanzibar...Hawezi kuwa Rais wa Tanganyika.