Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke

Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke

Wasukuma mna shida gani,kama una mtaka hiyo Mwinyi mpeleke akoongoze huko kwenu.
Kwani uliambiwa hapa Tanzania mwenye uwezo ni mwinyi tu.
Yaani huyu ndugu yangu uchambuzi wake siku hizi umekosa objectivity kabisa. Uraisi siyo entitlement. Kuna wengi amewapigia chapuo kwenye uongozi kwa sifa kemkem, unfortunately they failed. Massively. Tujifunze kuweka urafiki na mahaba pembeni kwa maslahi mapana ya taifa.

Paskali kwa exposure na weledi ulio nao....more is expected from you. Siyo hizi cheap cheap arguments za kufurahisha marafiki.

Wasalaam
 
Wanabodi
Haya mambo ya mtu kusikia sauti, sio mambo ya ulimwengu huu wa mwili, haya ni mambo ya ulimwengu wa Roho...
Tatizo kubwa la watu wa nchi hii kuishi kwa ramli, kujifanya wanatabiri sijui wanna ya mbele.

Na sometimes ni upuuzi mtupu, unkuta watu wazima kbisa wanapotea muda na bando kujadili tetesi na UZUSHI Kama vile ndio uhalisia.

Na akili za wabongo zilivyo, chochote wanachikiona wait wanachukua na kumeza na kukiamini utafikiri imani za dini.

Na tatizo unakuta mtu anachonga tetesi na utabiri based on CHUKI au PROPAGANDA.

Rais Samia yupo na atakuwepo. Na dalili zzote ziko wazi kuwa atagombea 2025 maana Hilo liko wazi.

Pili, Watu wote mnaomhisi Mwinyi ( ambaye Hana maajabu yoyote Kiuongozi kumzidi Samia ) Ni kwasababu HAMUAMINI katika Wanawake ( msiohusiana nao ).

Yaani JITU liko tayari kupata Kiongozi mbovu ilimradi tu Ni Mwanaume. Hivi huyo Mwinyi zaidi ya kuwa MTOTO wa Mwinyi na KUSIMIKIWA na JESHI kuwa Rais wa Zanzibar ana maajabu gani mengine???

Punguzeni CHUKI na ROHO MBAYA.

Unamchukia Kiongozi mwanamke kwasababu tu siyo Ndugu yako.

Hivi angekuwa Mama yako au dada yako ungekuwa UNAPAYUKA PAYUKA kiwa Wanawake hawafai kuwa Viongozi.
 
Wanabodi
Haya mambo ya mtu kusikia sauti, sio mambo ya ulimwengu huu wa mwili, haya ni mambo ya ulimwengu wa Roho.

Hii ni thread ya maono ya unabii, na sio utabiri na sio trends reading, ni unasikia tuu sauti inakuambia jambo fulani bila kuambiwa sababu na huwezi kuuliza, hivyo nami naomba kuwaeleza tuu sauti niliosikia na naomba msiniulize kitu kwasababu sio mimi ni sauti

Leo nilikuwa naandika bandiko fulani humu JF, ndipo ghafla nikaisikia sauti (voices from within) kuwa Rais wa JMT kwa 2025 should be Dr. Hussein Mwinyi kwa kipindi kimoja, then 2030 ndipo tuje na mgombea mwanamke!.

Sauti hiyo inamaanisha inamtaka Rais Samia awe ni Rais wa JMT kwa kipindi kimoja tuu hadi 2025. Sauti hiyo ikasema ni Rais Samia mwenyewe willingly anatakiwa kumuomba Dr. Hussein Mwinyi, 2025 aje kugombea urais wa JMT, kuimalizia awamu ya pili ya Samia, kwa awamu moja tuu,.

Na kipindi hicho cha 2025- 2030 ndio sasa sasa tufanye grooming ya Mwanamke atakagombea urais wa JMT kwa 2030.

Japo Tanzania, tulipania 2025 twende na mgombea mwanamke, na mimi niliunga mkono hoja hii Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!
kama hii sauti ni yake YEYE kweli, then unamaanisha kwa uchaguzi wa 2025, Tanzania tuna mgombea mmoja tuu Mwanamke, yaani the one and only ambaye ama anatakiwa na YEYE apumzike ampishe Mwinyi ama ...

Inaendelea ...

Paskali
(Mzee wa The Voices Within)
Ili nchi ikawe sawa tena, "one term presidents" itawapasa wapite kadha wa kadha.
 
Back
Top Bottom