Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke

Ni kweli ili aliyepo akafanye royal tour part two upande ule
 

Umesoma aliyoandika na ku refer.
 
Wewe ni mtu wa system wala hakuna cha utabiri bali ndio mpango mlio nao..

Vyovyote mlivyopanga kama mgombea wenu atakuwa mtu wa kupenda biashara na ustawi wa uchumi sina shida nae ila kama atakuwa kama huyo marehemu nitafikiria kuhamia Nchi jirani niendelee na maisha huko..

Siwezi kuishi maisha ya paka na panya au maisha ya kutaka watu wawe maskini chini ya sera za kipuuzi za kijamaa..

Namuunga mama mkono kwa sababu ya sera za kibepari, naamini Ili uondoe umaskini lazima utembee na Ubepari.
 

Soma kwanza alichoandika Acha kukurupuka.
 
Hizo ni bangi na "paradigm" ya kisukuma zimechanganyika.

Toka lini msukuma akakubali kwenye nafsi yake kuongozwa na mwanamke?

Unaleta porojo refu wakati hakuna cha sauti ya nani wala nani, kwanza anaesikia sauti zinamsemesha huyu "schizophrenic". Usije kuanza kuuwa watu tu, hata Son of Sam alianza hivyo hivyo.

Serial killers wote wanaanza hivyo hivyo. Una matatizo makubwa sana ya "psychiatric" .Muone daktari wa machizi mapema sana.
 

Unadhani wamesoma? As always wamekurupuka
 
Pascal Mayalla anaonekana amenyaka nyeti za ndani, na sasa anatuzuga as 'vioice from within'.

Mimi ninadhani ni 'information from within' kutokana na uelewa wangu.

Kwa hiyo Pascal Mayalla ungesema hivi:

"Taarifa hiyo inasema kwamba namba moja awe ni Rais wa nchi kwa kipindi kimoja tuu hadi 2025. Taarifa hiyo inasema ni namba moja mwenyewe willingly anatakiwa kumuomba Dr 2025 aje kugombea urais wa nchi, kuimalizia awamu ya pili ya namba moja, kwa awamu moja tuu".
 



Unaweza kutuambia kwa nini kwenye uislam mwanamke haruhusiwi kuwa IMAM ili walau kuongoza sala?
 
Hata mimi uliniambiae Kuhusu Samia sitokuelewa sio kwa sababu ni ushabiki bali facts,hadi sasa namba za Uchumi zinasoma vyema kuliko awamu iliyopita..

Hai make sense eti matatizo ya Uchumi wa Dunia yaonekane ni matatizo ya Samia..

Hapa shida ni Uzanzibari wake na Uanamke wake nothing else..

Mtu kama Magufuli alifanya nini cha kwenye Nchi hii kwa mwaka wake mmja tukimlinganisha na Samia?
 
Unaweza kutuambia kwa nini kwenye uislam mwanamke haruhusiwi kuwa IMAM ili walau kuongoza sala?
Ni vizuri sana umeuliza swali kuhusu Uislam.

Mwanamke anaruhusiwa kuwa Imama na kusalisha, kuna vigezo na limits zake, hata mwanamme jhawezi kuwa Imama kuna vigezo na limits zake. Aliyekwambia mwanake haruhusiwi kuwa Imam, hajakosea, Mwanamke ni Imama siyo Imam

Labda uelewa wa maana ya neno Imam mlitofautiana.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…