Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke

Shida siyo Uzanzibari wau Uanamke wake, shida ni Uislam wake.

Nnakuhakikishia kila anaempinga mama humu basi utakuta sio Muislam.
 
Umeambiwa Voice from within

Tatizo lenu Nyie watu mnajaza kichwani elimu akhera ambayo tukiwaambia Someni ukweli kuhusu dini yenu na hicho kitabu

Abu Bakr ni mtu muhimu na msingi wa maandishi ya Quran, Huyu ndie alikuwa anajua kusoma na kuandika hapo Mecca, Kulikuwa na watu wawili tu wanaojua kusoma na kuandika mmoja wao ni Abu Bakr

Sasa wewe unakuwa na hasira baada ya Pascal kuelezea voice from within

Pascal alishasema Voice from within Samia atafaa kuwa Rais na JPM ampishe, Yaliyotokea yakatokea

Sasa anasikia tena sauti Samia atakuwa Rais wa miaka mitano, Wewe unaumia kitu gani?
 
Pascal Mayalla una unabii ndani yako. Ili CCM iwe moja na ili CCM iendelee kuaminika na ili CCM Iendelee kuongoza nchi Dr. Mwinyi ndiye mgombea pekee anayekubalika na wote.
Kasimu Majaliwa Majaliwa na wafaasi wake na kundi lake kubwa ndani ya chama na Serikali hawana tatizo kabisa na DR. MWINYI na ni mtu sahihi kwa kipindi hiki na kipindi hicho(2025). Team Makamba wataumia sana ila ukweli hawana huruma hata kidogo na nchi yetu zaidi ya mission TOWN.
 
Wasukuma bana😀

Just kidding bro
 
Eti japo tulipania 2025 twende na mwanamke! [emoji28][emoji28][emoji28].. ila bandiko lako zuri. Na kwa mara ya kwanza nakubaliana na wewe pamoja na hiyo sauti yako from within..
 


Ikiwa inaruhusiwa kama unavyodai hapa,kwanini kunakuwa na mjadala mkali baina ya wanazuoni wa dini (Islam) linapokuja suala la mwanamke kuwa IMAMA?

Ni wapi kwa hapa Tanzania kuna Imama ili nikajionee?
 

Majina yale yale kila siku!
 
Punguza hasira mamaaa,watu waliomo jikoni washaona mbali mnaenda kuangukia kwenye shimo la moto na huyo mama yenu,na wameshaona Huyo mwinyi JR ndo apite hapo Katikati ya mstari mwembamba.

Halafu Kwani hujui kama kweli ulofanya comparison unaona nani anafaa kuja huku KWA tunaoitwa machogo!!!


Tatzo KWA Sasa mnakwara sana,yani ni mwendo wa "CHUKUA CHAKO MAPEMA"
maana bomu la 2025 habaki mtu na huyo mama yenu
 
Ikiwa inaruhusiwa kama unavyodai hapa,kwanini kunakuwa na mjadala mkali baina ya wanazuoni wa dini (Islam) linapokuja suala la mwanamke kuwa IMAMA?

Ni wapi kwa hapa Tanzania kuna Imama ili nikajionee?
Mimi nasalisha nyumbani kwangu kila siku. Na si wa kipekee, tupo wengi sana Au unamaanisha nini zaidi kwa UImam na Uimam?

Au unataka mwanamke akswalishe msikitini, Akisujudu msambwanda awaachie wanaoswali kaubinua Ng'weee? Kutakuwa na swalat hapo kwenye marijali. Usifanye mzaha na Uislam, haujaacha kitu. Mwanamke anachokatazwa ni kuswali mbele ya wanaume, anaweza kuswa nyuma ya wanaume. Na anaweza kuswalisha kama Imama kwa wanawake wenzake na watoto ambao hawajabalee, iwe wanawake au wanaume. Hakuna katazo hapo

Lakini kama unamaanisha Uimama ni uongozi, basi hilo hakuna lilipokatazwa.

Hayo malumbano unayoyasema ndiyo usomi huo. Ukikuta wawili au zaidi wanabishana, wewe chukuwa yote halafu changanya na yako, usingoje kuburuzwa tu kwa kuwa kuna watu wanakuwa wasemaji wazuri, wana vipaji na mvuto wa kuongea, wanaweza kukuamnisha chochote wapendacho, hata ambayo hayatendeki. Kama Nyerere, alikuwa msemaji mzuri sana, lakini nchi ikawa masikini wa mwisho duniani, na kila atachosema utaamini hiki ndicho chenyewe, kumbe porojo tu nyingi.
 
Huna elimu ya nafsi (phsychology) wewe zaidi ya Muislam. Kumbuka hilo, humuwezi hata aliyemaliza juzuu ya kwanza tu.

Kwa maandiko yake, niliyomueleza ndiyo ukweli. Hiyo "voice within" ndio "schizophrenia", ushahidi huu hapa, kajisomee: Schizophrenia - Symptoms and causes

Huwa sikisii.
 
Na Mwinyi akimaliza atafutwe mtoto Wa Lowassa...kisha wa Shein...turudi yule wa Pinda...si umekuwa usultani sasa
 

Poa. Tushajua unalinda kupigania maslahi ya familia sijui mama yako dada yako na sio Taifa mama. Watu wanajadili nchi wewe unajadili undugu udada na ufamilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…