Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke

Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke

Bro unazingua ujue!?
Hebu wacha hizi! Hufananii kabisaaaah

Unapigania UMWINYI CHIEFDOMS!

Wapo wenye uwezo wengi Tanzania hii, hebu fikiria nje ya box!
 
Kama kwa "udini" unamaanisha Uislam basi elewa kuwa hilo sitaliacha mpaka niingie kaburini.

Kaitazame "Royal tour", mwenyewe kaonesha nyumbani kwao na alipolelewa na msikiti na madrassa aliyosoma ipo hapo hapo kwao, hapo alisema ndiyo palipomjengea maadili.

Utaacha wapi kuusifia Uislam kwani ndiyo uliomfundisha nidhamu na maadili, unafikiri maadili yanafundishwa shule za secular? Au shule za Kikaristo? Ambako mapadri wamejazana mashoga, kuna kufundishana maadili mema huko?

Rais wa Ufilipino Duterte kayasema hayo, si mimi, unataka ushahidi sema nikuwekee.

Maadili hufundishwa na familia. Kama hukufundishwa misingi ya maadili na utu ukiwa nyumbani, hata ukeshe msikitini, hekaluni au hata kanisani itakuwa ni kazi bure. Kila kitu huanzia nyumbani.

Someni
Kumbukumbu la Torati 6 : 5, 6, 7.
 
Pia sidhani kama kuna familia zinazofundisha maadili hayo, hususan katika desturi ya waAfrika.
Huajipitia link, hayo yanafundishwa na mashoga makanisani: https://www.usnews.com/news/article...s-its-empirical-fact-that-many-clergy-are-gay

Hiyo link niliyokuwekea hakuandika Muislam hayo, inasema wazi, kuwa kazi za makanisani zote zinaendeshwa na mashoga, sasa utegemee kusomeshwa maadili yepi huko?

Ikiwa familia yako hakikufundishi maadili mambovu lakini familia hiyo hiyo inakupeleka ukafundishe maadili na mashoga Sunday School. inakutakia mema kweli hiyo familia yako?
 
Bado Watanzania akili zetu wengi zimeganda. Kwa zama hizi bado tunataka kumchagua Rais kwa kigezo cha JINSIA kweli?
Dunia nzima,Taja nchi ambayo Katiba Inampa mamlaka yakiti Kama kwetu mwanamke, krotia?!
Labda. Wanawake wanahitaji kusimamiwa, that's natural.
Kwetu tukome kuchagua makam dhaifu.
 
Huajipitia link, hayo yanafundishwa na mashoga makanisani: https://www.usnews.com/news/article...s-its-empirical-fact-that-many-clergy-are-gay

Hiyo link niliyokuwekea hakuandika Muislam hayo, inasema wazi, kuwa kazi za makanisani zote zinaendeshwa na mashoga, sasa utegemee kusomeshwa maadili yepi huko?

Ikiwa familia yako hakikufundishi maadili mambovu lakini familia hiyo hiyo inakupeleka ukafundishe maadili na mashoga Sunday School. inakutakia mema kweli hiyo familia yako?

Ni kweli kabisa kanisa la Roman Catholic limekuwa na kadhia hizo kwa kificho kwa muda mrefu. Lkn pia kanisa limekuwa likifumbia macho matendo hayo. Licha ya kuwa linajinasibu kupinga mambo hayo.
Mbali na hawa RC, kuna Anglican ambao wameweka mambo hadharani. Kuna Lutheran huko ulaya wanafungisha ndoa za watu wa jinsia moja makanisani mwao.
Binafsi mimi halinishi, wala kunihangaisha akili. Maana najua wanatimiza unabii wa Yesu aliposema "Si kila mtu aniambiaye Bwana Bwana ataurithi ufalme wa Mungu, bali afanyae mapenzi ya Mungu. Wengi watakuja kwangu na kusema, je hatukutoa pepo kwa jina Lako, je hatukufundisha kwa jina lako na kufanya ishara kubwa kwa nguvu zako. Ndipo Yeye atasema sikuwajua ninyi, ondokeni kwangu ninyi watenda dhambi wakubwa". Hivyo waache maana vitabu vimebainisha fungu lao.
 
Umevuta zako bangi unaona maruweruwe unakuja kusingizia eti umesikia sauti ya Mungu 😆😆😆

Hebu tuondolee ujinga wako... Kama ni sauti hata mimi nimesikia sauti nyingi tu
 
Kwa maoni yangu, Rais Samia Suluhu Hassan anafanya vizuri sana. Hali ya uchumi inasababishwa na matatizo ya uchumi wa kidunia. Lakini anafanya vizuri naa Hana uchu wa MADARAKA. Aachwe, apewe nafasi AFANYE KAZI Kwa uhuru mpaka kipindi CHAKE kiishe.

Bernard Camilius Membe pia ataweza kuwa Rais mzuri sana baada ya Rais Samia kumalizwa muda wake.

Mwingine ambae atamrudisha mshikamano, ataondoka dhulma ni Mzee WA chuga AbdulRahman KINANA. Pia anafaa Sana kuwa Rais wa Tanzania.
Doh yaani wewe ndio walewale hutufai kabisa
 
Namiaka yangu 40+ sijawahi piga Kura,
Ila mwinyi akigombea bara, ntampigia Kura na kumfanyia kampeni freely,
Anaweza kazi, anapenda watu wapate haki/maslahi yao lakini pia anapenda watu wawajibike (Kama JPM), Ila Kwa uadilifu possibly amemzidi JPM Kwa mbali sana
 
Mimi ni muislam lakini huyu mama sitaki hata kumsikia, tokea ni VP nilishaona ni mnafiki na lightweight ambae hakustahili kupewa mamlaka yoyote makubwa.
Kazi ya Mungu haina makosa, hakuna binaadam aliyempa Urais, ni kudra za Allah mwenyewe. Shindana na Qadar sasa.

Una haki ya kufikiri upendacho.
 
Ni kweli kabisa kanisa la Roman Catholic limekuwa na kadhia hizo kwa kificho kwa muda mrefu. Lkn pia kanisa limekuwa likifumbia macho matendo hayo. Licha ya kuwa linajinasibu kupinga mambo hayo.
Mbali na hawa RC, kuna Anglican ambao wameweka mambo hadharani. Kuna Lutheran huko ulaya wanafungisha ndoa za watu wa jinsia moja makanisani mwao.
Binafsi mimi halinishi, wala kunihangaisha akili. Maana najua wanatimiza unabii wa Yesu aliposema "Si kila mtu aniambiaye Bwana Bwana ataurithi ufalme wa Mungu, bali afanyae mapenzi ya Mungu. Wengi watakuja kwangu na kusema, je hatukutoa pepo kwa jina Lako, je hatukufundisha kwa jina lako na kufanya ishara kubwa kwa nguvu zako. Ndipo Yeye atasema sikuwajua ninyi, ondokeni kwangu ninyi watenda dhambi wakubwa". Hivyo waache maana vitabu vimebainisha fungu lao.
Wewe haliwezi kukutisha kwa kuwa umefundishwa maadili na hao mashoga. Sikushangai.
 
Back
Top Bottom